Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Hakika sababu nimeshaona na si Hadith.
Tena si kuishia kuwa kahaba na ukimwi juu na ukimuona alivyo huwezi kukubali huyu ni muathirika
Hata mie nnachokizungumzia hapa nimeshaona na kushuhudia kwa ukaribu, na sio hadithi.

Labda alikua na sababu zake zingne, asisingizie kunyanyaswa kingono, mbona wako walio wahi nyanyaswa na hawapo ktk ukahaba na umalayaa,

Au makahaba na Malaya wote hawa duniani walinyanyaswa kingono?
 
Wapo wanaojitegesha wenyewe mzee

Na kuna hali zikitokea ke hatoweza kumshtaki lecturer, akimshtaki lect. anakosa kazi, ke anakosa chuo

Fikiria labda hajafanya test, hakutoa taarifa, hapa kete zote ziko kwa lect. ke akienda kushtaki lect. akishafukuzwa na yeye anadisco
Mnakataa kuongea uhalisia. Hakuna mwenye muda wa kusikiliza, hata uende kusema wapi
 
Hata mie nnachokizungumzia hapa nimeshaona na kushuhudia kwa ukaribu, na sio hadithi.

Labda alikua na sababu zake zingne, asisingizie kunyanyaswa kingono, mbona wako walio wahi nyanyaswa na hawapo ktk ukahaba na umalayaa,

Au makahaba na Malaya wote hawa duniani walinyanyaswa kingono?
Si pointi
Mbona nimemelelewa na baba mlevi lakini mm s mlevi.
Hata hao wanaojirahisisha huenda kuna sababu ambayo iliwafanya waanze kuwa hivyo. Nafikiri point kubwa ni walijikuta vipi katika hali hiyo?
 
Si pointi
Mbona nimemelelewa na baba mlevi lakini mm s mlevi.
Hata hao wanaojirahisisha huenda kuna sababu ambayo iliwafanya waanze kuwa hivyo. Nafikiri point kubwa ni walijikuta vipi katika hali hiyo?
Kumbe unajua hilo? Kunyanyaswa kingono sio go ahead ya kuwa Malaya au kahaba? Bas sasa na case imefungwa.

Wanaojirahisisha sababu iko wazi na nimeisema huko juu, ni Kutaka kitonga cha PESA na KUFAULISHWA.

au sababuu kuu ni UMASKINI.
 
Kumbe unajua hilo? Kunyanyaswa kingono sio go ahead ya kuwa Malaya au kahaba? Bas sasa na case imefungwa.

Wanaojirahisisha sababu iko wazi na nimeisema huko juu, ni Kutaka kitonga cha PESA na KUFAULISHWA.

au sababuu kuu ni UMASKINI.
Kumbe sababu kuu ni umaskini?siwez kukupinga
ILA wengi wananyanyaswa na hakuna anayewasikiliza
 
Kwan hyo s abortion clinic.. hata kaul mbiu yao ni UZAZI KWA MPANGO nliwah ona kwenye gar yao.
Magufuli aliwatimua sababu ni hiyo.
Mawakala wa uzazi wa mpango, wanadai wanatoa mimba kisasa.

Bila kusahau ndio wanaongoza kwa kushirikiana na serikali kuwalisha watoto wetu midonge ya uzazi wa mpango bila hiari yao, eti wanadai wasije zaliana km panya.
 
TAKUKURU ni jibwa koko lililoshiba minyama iliyooza ya hoteli za uswahilini, yaani tangu aondoke mlowola na hosea hakuna kitu aisee. wanakula mshahara wa bure tu sijasikia wamekamata hata bodaboda nyambaf wale
 
Naijibu no 2, na ndo mada husika, hii ipo ila sio kwa kiwango ambacho mnaaminishana hapa, mnawalaumu buree wazee wa watu, mabinti zenu ndo konkodi wa kuwatega na kuwawinda hao wakufunzi ili wapate kitonga cha pesa na kufaulishwa.

Siutakii unafikiii mie.
Nakubaliana na wewe. Mhadhiri anatoa seminar groups. binti hajiungi na group wala kuchukua swali. Dakika za majeruhi anaenda kwa lecturer kuomba asaidiwe maana hana maksi za seminar. Wanatakiwa wahudhurie, binti hahudhurii na hakuna sababu za msingi baadaye anaenda kwa mhadhiri kujisoundisha vijisababu kibao. Wanafanya test anafeli kihalali alafu anaenda kujipeleka kwa mwalimu amsaidie maana asipofikisha maksi zinazotakiwa anacarry course. Sasa hapo huyo mhadhiri siyo malaika na yeye atashawishika, kumbuka huyo binti siku ya kwenda ofisini kwa mwalimu atajipiga make up hatari, unyunyu wa kufa mtu akiingia ofcn ofisi yote inasambaa manukato, vazi alilovaa jamaa akiangalia...... mwishowe lazima jamaa ajichukulie point 3 za mezani.
 
Huuu ni uwongo Mtupu, ukweli ni 0.001%
Watoto wakike wengi kunyanyaswa kingono na ma lecture na na prof ni tatizo kubwa.
Wengi ambao hawarubuniwi ni wale ambao uhuru unawaendesha Hakuna mtu wa kuwafatilia, hawana elimu ya uzazi wa mpango mwisho wa siku wanaingia kwenye makundi.
ILA wengi huwa wanaaanza na kunyanyaswa kwanza anajiona ana thamani tena anadumbukia kwenye wimbi la ukahaba.
ma lecture wamejaa umeme na na prof kazi yao ni kuharibu watoto tu huu ni ukweli mchungu. Tumeshaona mabinti wanatoka nyumbani wapo vzuri wanaacha chuo baada ya kujigundua wameathirika anajiona hana tena thamani anaanza kujiuza.
Wewe labda ujakaa na wengi watoto wa UDSM wakuambie walianza vipi ukahaba
uongo wenye ukweli 80%
ukitaka kuujua ukweli nenda changanyikeni,kimara jirani na UDSM,nenda kijitonyama ufanye reseach utaujua ukweli
 
Kwa mazingira ya chuo kuna taswira mbili ya mwanafunzi kutoka kimapenzi na mhadhiri/ wahadhiri

1. Wanafunzi wengi wakike huangalia nature ya mhadhiri husika kama anaingilika kirahisi kwa wadada hupenda zaidi kujipeleka ili kupata upendeleo mbalimbali kama vile C/A kubwa, hapo ndipo mhadhiri kama mwanaume anaweza kujiongeza kirahisi akafanya nae mapenzi,
hawa huwa ni wale wanaopenda wenyewe ili kupata favour mbalimbali kutoka kwa mhadhiri.

Wanaume huangalia nature ya mhadhiri na huweza kuingia kwa gia ya ela ya soda/ maji hapa tunaelewana, na wapo wahadhiri wengi wanaochukua hela kutoka kwa wanafunzi (waliosoma hasa vyuo binafsi wanaelewa zaidi mf SAUT, CUCoM ile st Augustine ya zamani etc).
2. Wahadhiri ambao wenyewe wanapenda kutongoza mabinti na wakikataa hiyo imekula kwao hapo lazima apite na mtu utakuta Supp na Carry over juu.
Kwa upande wa wanaume nao huombwa rushwa ya pesa kutoka kwa walimu wao utasikia tu wewe mtoto wa kiume jiongeze kwahiyo ukisikia hivyo toa ela usaidiwe bila hivyo utapitiwa na Supp za kutosha.
 
Back
Top Bottom