Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Si kweli tumepita huko watoto wakike wanateseka mno jinsi hata inavyosemwa, kuna lecture alikuwa anawatishia ivo ivo Halafu anakula wawili na s wanajuana mmoja Akaacha chuo, wanateseka sana sana.
Wanaume huwa sijui tunafeli wapi
imagine kama hako kamalaya kanakimbia hatma yake kisa kameshea bwana na mwanafunzi mwenzake.

kwani mkufunzi alikaambia amekaoa?
 
Mimi sasa nimesoma na dem alikuwa anawekewa sifuri tu na HOD for ni reason sababu tu lect Alikuwa akimtaka demu, alikaza sana mwsho wa siku aliamua ku surrender na hata akienda kushtaki hakuna anayemsikiliza.
Japo sikatai wapo wanaojirahisisha ila wengi huwa ni wa kulazimishwa
Mkuu huyu ulimsaidiaje? Bila ushahidi usio na shaka hii nayo itakuwa stori kama stori zingine tu.
 
Mkuu huyu ulimsaidiaje? Bila ushahidi usio na shaka hii nayo itakuwa stori kama stori zingine tu.
ushahidi wa kwamba? Si lazima uamini, ila tumeishi tukiona hayo, hata akifika kwa principal kulalamika hakuna hatua inayofatwa na sanasana atafokewa aache umalaya. Kama hukuwahi kusikia habari hizi pole Ndugu.
Ukienda makazini ndiyo usiseme. Ili jambo alipngelewagwi tu ila uchafu unaofanywa na wanaume wachache wasiojielewa wenye nafasi za juu unatisha
 
Ndio maana nikasema hiv kabla ya hapo ungeuliza walianzaje?
Sikatai kama wanazo hizo tabia shida ilianzaje?
Ngono ni tabia ya asili ya mwanadamu. Aifanyeje, ni jamii ndio huweka mipaka. Kwa sababu hiyo mwanafunzi ww chuo kikuu kuwa Malaya huwezi kuwalaumu waalimu wake. Tatizo linaanzia mbali zaidi ya hapo. Pia hakuna utafiti wowote uliotoa uhusiano kati ya kunyanyaswa kingono na umalaya hasa wa kupenda watu wenye pesa. Kinyume chake ni kwamba mtu aliyewahi kunyanyaswa kingono anaweza asiipende ngono kabisa na yote yanayoambatana na tendo la ngono ikiwemo ndoa.
 
Mkuu sibishani kwamba hakuna uhusiano, ila mimi Nipo na marafiki wakike ambao walikuwa vzuri sana, lakini alipo kutana na hizi changamoto alipotea kabisa akajitumbukizA kwenye ukahaba.
 
Ngono ni tabia ya asili ya mwanadamu. Aifanyeje, ni jamii ndio huweka mipaka. Kwa sababu hiyo mwanafunzi ww chuo kikuu kuwa Malaya huwezi kuwalaumu waalimu wake. Tatizo linaanzia mbali zaidi ya hapo. Pia hakuna utafiti wowote uliotoa uhusiano kati ya kunyanyaswa kingono na umalaya hasa wa kupenda watu wenye pesa. Kinyume chake ni kwamba mtu aliyewahi kunyanyaswa kingono anaweza asiipende ngono kabisa na yote yanayoambatana na tendo la ngono ikiwemo ndoa.
Hapo ni baadhi tu, wapo wengi tu chanzo chake kilianzia kuwa abused, lakini sio lazima iwe chuo hata nje ya hapo na akajikuta taratibu anajiona hana thamani na anatumbukia huko
kama una marafiki wa design hiyo kaa naye siku moja mchimbe muulize hivi ulianzaje anzaje?

1nilishawahi nyanyaswa
Au makundi
 
Usidanganye watu asilimia kubwa ya wanawake wa chuo hawasomi hawaingii class hawafanyi assignment wanasubiria kitonga wao ni bata nasema hivi wana bahati sijawa lecture ninge wapelekea moto maana wengi wao wanapenda bata kuliko kusoma hata sisi tumesoma chuo mkuu tulikuwa tunaona.
 
Mbona mnahangaika na wahadhiri, vijana w siku hizi sio watu wa kukaza, mdebwedo sana. Uhuru wa hivyo vyuo unawapa mawenge sana, hawasomi.Demu akiwa anapambana na kujielewa hawezi kulazimishwa
 
kweli umeshindwa kuisolve hii, mwambie mdogo wako amkubalie, waende lodge ,mkifumania mnamrekodi,, ,,so mkiwa na video zake mdogo wako atapewa favour balaa ili zisivuje
Ndio tupo kwenye harakati, atajaa tu.
 
Kumbe sababu kuu ni umaskini?siwez kukupinga
ILA wengi wananyanyaswa na hakuna anayewasikiliza
Wanao nyanyaswa wapo na hawasikilizwi ni kweli, ila wanao amua kwa dhati wanasikilizwa.
Ila sio kwa kiasi ambacho mnachosema hapa, kulingana na hilo tatizo.
 
Nakubaliana na wewe. Mhadhiri anatoa seminar groups. binti hajiungi na group wala kuchukua swali. Dakika za majeruhi anaenda kwa lecturer kuomba asaidiwe maana hana maksi za seminar. Wanatakiwa wahudhurie, binti hahudhurii na hakuna sababu za msingi baadaye anaenda kwa mhadhiri kujisoundisha vijisababu kibao. Wanafanya test anafeli kihalali alafu anaenda kujipeleka kwa mwalimu amsaidie maana asipofikisha maksi zinazotakiwa anacarry course. Sasa hapo huyo mhadhiri siyo malaika na yeye atashawishika, kumbuka huyo binti siku ya kwenda ofisini kwa mwalimu atajipiga make up hatari, unyunyu wa kufa mtu akiingia ofcn ofisi yote inasambaa manukato, vazi alilovaa jamaa akiangalia...... mwishowe lazima jamaa ajichukulie point 3 za mezani.
Ukweli lazima usemwee.
 
Back
Top Bottom