Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Wanafunzi wenyewe wanachangia wakati mwingine.... wanajipeleka.

Kuna dada mmoja niliwahi kusoma nae, tukafanya test ya kozi Moja inaitwa tax Law, Zaidi ya robo tatu ya darasa tuliscore below 5 out of 20.

Then Kuna kidada kimoja kikamfuata lecturer ofisini kumuomba eti akipe test nyingine ofisini kifanye .... chenyewe kilipata 4, lecturer alichofanya akamchukua akaja nae class akasimulia mbele yake,dada akabaki kulia tu.

Sasa mtu kama Huyo akiliwa jamii inalalamika, Hamna mtu wa kukupa favour buree. Ukitaka kula lazima uliwe hiyo ndo kanuni ya dunia.

Kuna siku Moja nimepanda bus na vitoto vilivyokuwa vinamaliza form six, Vinapingiana kabisa kuwa eti lazima vi date na lecturer au rais wa chuo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
 
Hapo zamani kidogo wahadhiri ndio walikuwa wakitongoza na kusumbua wanafunzi na hata kuwanyanyasa kimasomo pale wanapokataliwa. Lakini kwa sasa watoto wa kike ndio wanawasumbua sana wahadhiri tena wanaomba wenyewe kutoa miili yao wakitafuta kufaulu.

Watoto wa kike wa zama hii wanaamini kupitia miili yao wanaweza kupata chochote watakacho, ni tatizo kubwa sana!

Hawasomi wanakesha kwenye starehe na mwisho wakipata masifuri kwenye mitihani yao wanaweka camp kwenye ofisi na simu za wahadhiri wakiwashawishi na kuwategeshea ngono ili wapate alama nzuri.

Nachukia sana kusema hili kwakuwa nina watoto wa kike, ila asilimia kubwa ya mabinti wenye alama nzuri vyuoni, alama zao mashaka sana. Binti ana A ya somo fulani ila vitu vidogo tu kwenye hilo somo havijui.

Hakuna mhadhiri anaweza kumnyanyasa kingono na hata kumfelisha binti makini anayesoma na kuhudhuria vipindi vyake vyote.
Ukweli lazima usemwee.
 
Kuna dogo alikuwa analazimishwa kumla mkufunzi shoga, mkufunzi alipokataliwa dogo alibakizwa chuo hakuhitimu.

Nilimshauri aende Takukuru maana alikuwa na hadi text za whatsApp sijui aliishia wapi na zaga lake.
Ilikuajee? Nahitaji kufahamu.
 
Wanawake wengi hucheza kitu tunaita 'victim card'. Hata mke wa mtu akijitongozesha kwako, atasema yeye ni mhanga wa mambo fulani ili umuonee huruma. Ndio hawa watoto sasa. Kuna matukio makubwa tu.

Kuna mwanafunzi (KE) aliwahi kuingia kwenye gari ya mhadhiri aende nae kwake akapewe mambo. Mwalimu ilibidi atumie ujanja kumkimbia.

Kuna tukio jingine siwezi lisema sana ila mwalimu alishawishiwa. Alivyojaa, akapigwa tukio na kuwa blackmailed. Ilibidi a comply na demands za mwanafunzi na genge lake ili alinde utu wake.
Ukweli lazima usemwee.
 
Duh lecturer alikuwa panga
Hii aione cocastic aje ajazie
Nyama [emoji1]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lecturer anamtaka jamaa, jamaa hajamuelewa si atulizane tyuuh, wakubwa wenzie hawaoni?
Au km anataka vijana si atafute wengine, hapo chuo yuko huyo jamaa tyuuh.

Huyo lecturer kazingua sana, sijui alifeli wapii.
 
Duh ni changamoto aisee hasa kwa mabinti.alisomea coz gani?
Hili kila mtu analijua.
Nina rafiki yangu yeye alienda kuomba nafasi hotel moja hapa dsm. Alipofika kule kama kawaida manager akamwambia nipe nikupe. Demu akanipigia nimeambiwa moja mbili tatu. Nikamwambia mshkaj wangu usijaribu utaishia kuwa mtumwa wa ngono, sababu ukimpa ngono ili upate kazi kila atakapokuhitaji lazima ufanye hivyo na huwez kumkatalia sahiv yupo zake anasuka kila sehemu anayoenda wanamtaka ngono. Vyeti kafungia kaamua awe msusi
 
Uko sahihi ni Tabia ya mtu tu.
Hata mie nnachokizungumzia hapa nimeshaona na kushuhudia kwa ukaribu, na sio hadithi.

Labda alikua na sababu zake zingne, asisingizie kunyanyaswa kingono, mbona wako walio wahi nyanyaswa na hawapo ktk ukahaba na umalayaa,

Au makahaba na Malaya wote hawa duniani walinyanyaswa kingono?
 
Duh mkuu kumbe hao ma prof ni source ya dada zetu kujiuza.wengi wanaojiuza ni wameathrika na kukata tamaa?
Tena kisha baadaye wanakuja kuwaajiri na kuendeleza hizo tabia huku wakiwapa vyeo na promotions za haraka haraka...

Kuna rushwa ya ngono ambayo imekuwa consistent na institutionalized vyuo vikuu; sijui kwanini mifumo yake imepwaya hivi...Kuna vitu vya wazi kabisa lakini hakuna actions zozote zinachukukiwa na watu wanaendelea kutamalaki
 
Hakuna anaerubuniwa bali watoto wa siku hizi hawana mshipa wa aibu.ni wakware mno.
Hawataki kusoma.
Ukitaka kuujua ukweli nenda hospitali kama MARIE STOPES mwenge upate record za abortion na magonjwa ya zinaa kwa siku wanafunzi wa Ustawi wa jamii kijitonyama.
Unaweza usimpeleke mtoto chuo..
Pia uliza walinzi wa pale chuo upate taarifa.

Yani bila hata rushwa wenyewe wanaomba kufanyiwa hayo mambo.

Wanafanya INVITATION TO TREAT ie wanaacha kila kitu waz ili ushoboke nao wakuweke mtu kati uwape majibu.

Kwa ustawi hadi walezi wamechoka kuona mambo ya hovyo yanayofanywa na wale watoto.

Itafika mahali hata uzao utakuwa shida.

Kuna mmoja nilimuuliza kuhusu abortion÷alisema kama abortion isingekuwepo mneenda kuokota vitoto vingi maeneo ya chuo,

Hatari sana
Ni watoto, umesema; je si matokeo ya malezi ya jamii nzima? They are just victims of circumstances
 
Malecture vyuoni huko wanawazibua watoto wa kike mitaro aise
Hivi hiyo mosambwanda wataiachaje achaje...
Mimba + umeme juu wanawaachia [emoji1]

Ova
Kwa hiyo wanapoenda vyuoni wanakuwa mabikira sio? kwamba wanaanza kuzibuliwa chuoni. Hizo ni chuki binafsi, hao mabinti wenyewe siku hizi wanaanza kufanya mapenzi darasa la 4 hadi 7. sekondari inakuwa uchumba kabisa akija chuo k ishalegea alafu mnasingizia wahadhiri.
 
Acha wahadhiri wawazibue tu
Hata badaye wakiwa watu fulani hko
Serikalini lakini washazibuliwaaaa

Ova
 
Hakuna anaerubuniwa bali watoto wa siku hizi hawana mshipa wa aibu.ni wakware mno.
Hawataki kusoma.
Ukitaka kuujua ukweli nenda hospitali kama MARIE STOPES mwenge upate record za abortion na magonjwa ya zinaa kwa siku wanafunzi wa Ustawi wa jamii kijitonyama.
Unaweza usimpeleke mtoto chuo..
Pia uliza walinzi wa pale chuo upate taarifa.

Yani bila hata rushwa wenyewe wanaomba kufanyiwa hayo mambo.

Wanafanya INVITATION TO TREAT ie wanaacha kila kitu waz ili ushoboke nao wakuweke mtu kati uwape majibu.

Kwa ustawi hadi walezi wamechoka kuona mambo ya hovyo yanayofanywa na wale watoto.

Itafika mahali hata uzao utakuwa shida.

Kuna mmoja nilimuuliza kuhusu abortion÷alisema kama abortion isingekuwepo mneenda kuokota vitoto vingi maeneo ya chuo,

Hatari sana
Unyanyasaji wa kijinsia na rushwa ya ngono vipo vyuoni. Acheni upumbavu wa kujificha kwenye kivuli cha wanataka wenyewe sijui hawasomi. Aliyewaambia dawa ya kutosoma ni ngono nani?

Mwanachuo kutoa mimba na kupata magonjwa ya zinaa inatibiwa kwa kulala na lecturer?
 
Kuna dogo alikuwa analazimishwa kumla mkufunzi shoga, mkufunzi alipokataliwa dogo alibakizwa chuo hakuhitimu.

Nilimshauri aende Takukuru maana alikuwa na hadi text za whatsApp sijui aliishia wapi na zaga lake.
Mkufunzi mwingine alimwambia J E baada ya kumuuliza yuko wapi kwenye kipindi chake hakuonekana na J E akawa yupo kwake, mkufunzi mwanaume eti "nimekumiss leo nimeamua kupika natamani uje uonje chakula changu". Si upuuzi kabisa huo
 
Back
Top Bottom