Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Huuu ni uwongo Mtupu, ukweli ni 0.001%
Watoto wakike wengi kunyanyaswa kingono na ma lecture na na prof ni tatizo kubwa.
Wengi ambao hawarubuniwi ni wale ambao uhuru unawaendesha Hakuna mtu wa kuwafatilia, hawana elimu ya uzazi wa mpango mwisho wa siku wanaingia kwenye makundi.
ILA wengi huwa wanaaanza na kunyanyaswa kwanza anajiona ana thamani tena anadumbukia kwenye wimbi la ukahaba.
ma lecture wamejaa umeme na na prof kazi yao ni kuharibu watoto tu huu ni ukweli mchungu. Tumeshaona mabinti wanatoka nyumbani wapo vzuri wanaacha chuo baada ya kujigundua wameathirika anajiona hana tena thamani anaanza kujiuza.
Wewe labda ujakaa na wengi watoto wa UDSM wakuambie walianza vipi ukahaba
Mkuu tukubli pia hawa watoto wakifika chuo ule uhuru una wasumbua sana. Hao malecturer uharibifu wao unaweza kuwa mdogo sana.
Night club nyingi wanajaa wao, ni malaya wa Zuri sana.
Labda kama hao ma lecturer kutembea nao ndio shida lkn kwa watu wengine ni halali
 
Mkufunzi mwingine alimwambia J E baada ya kumuuliza yuko wapi kwenye kipindi chake hakuonekana na J E akawa yupo kwake, mkufunzi mwanaume eti "nimekumiss leo nimeamua kupika natamani uje uonje chakula changu". Si upuuzi kabisa huo
Haya mambo mtu akisikia anaweza akafikiri ni stori za kutunga kumbe yapo wazi kabisa.

Nimeshangaa sana kusikia bungeni waziri akisema wamepokea visa hata havifiki 20+.

Nina uhakika idadi ya visa wanavyofahamu ni sawa na visa vinavyotokea kwa siku moja tu kwa vyuo 5 vilivyopo Dar es Salaam.

Najiuliza ni wahanga hawaripoti au wanaripoti alafu malalamiko hayafiki kwa ngazi husika.
 
Mkuu tukubli pia hawa watoto wakifika chuo ule uhuru una wasumbua sana. Hao malecturer uharibifu wao unaweza kuwa mdogo sana.
Night club nyingi wanajaa wao, ni malaya wa Zuri sana.
Labda kama hao ma lecturer kutembea nao ndio shida lkn kwa watu wengine ni halali
Mkuu hapa kuna vitu viwili, kuna ile hali wanafunzi kula bata (sio sehemu ya mada hii, wala sio tatizo) na kuna ile hali mkufunzi kumtaka mwanafunzi kingono (hii ndio mada na tatizo).

Iwe mwanafunzi anakula bata au anakesha nyumba ya ibada, mkufunzi kumtaka kingono ili afanikiwe kielimu ni rushwa na tatizo kubwa sana.

Ila pia wanawake machepere huwa sio wahanga wa haya mambo maana hata wakufunzi huwa wanawaogopa maana dakika mbili atakuta video ipo insta anakoroma kifala.

Wahanga wakuu huwa ni hawa innocent girls. Na hawa wakufunzi wanajua ku spot victims wao huwa hawaendi kifala fala tu.
 
Sawa mkuu, lkn pia hao walimu wao pia ni binadamu inawezekana wajilengesha wakijua wata saidiwa lkn ikishindikana wanageuza vibao.
Pia kula bata kweny ma nightclub ni shida kwao kwasababu wanapoteza mda mwingi na kupata mawazo ya kishetani
 
Wale waliofaulu kwa rushwa ya ngono ni hao wanaosahau mkasi tumboni baada ya upasuaji. Kwa fani ya sayansi ni hatari sana!!!
 
Si kwamba ninaunga mkono haya yanayoendelea, ila watoto wa kike siku hizi wamekuwa wahuni sana. Wao wenyewe wanakwambia kwenye mikoba yao morning after pills hazikosekani. Wanafanya sana ngono zembe.

Mimi ni mdau kwenye elimu ya juu kwenye chuo kimoja kikongwe hapa nchini. Kwa semista moja, huwa inatokea mabinti wawili hadi wanne kunitaka kimapenzi. Na hao huwa wanakuja wenyewe.

Bahati mbaya sana hakuna anayejali kero za aina hii kutoka kwa KE. Kinachoangaliwa ni usumbufu wa ME kwa KE. Sasa, TAKUKURU itakapochunguza hilo suala, watoe nafasi pia kwa wahadhiri wa kiume nao watoe yao ya moyoni. Mtagundua kwamba hao mnaowatetea ni wachafu kupitiliza.

There's more to life than meets the eye.
Pole sana ,jaribu kushinda majaribu simamia haki utakuwa salama milele.
 
Back
Top Bottom