Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Mkuu tukubli pia hawa watoto wakifika chuo ule uhuru una wasumbua sana. Hao malecturer uharibifu wao unaweza kuwa mdogo sana.
Night club nyingi wanajaa wao, ni malaya wa Zuri sana.
Labda kama hao ma lecturer kutembea nao ndio shida lkn kwa watu wengine ni halali
 
Mkuu tukubli pia hawa watoto wakifika chuo ule uhuru una wasumbua sana. Hao malecturer uharibifu wao unaweza kuwa mdogo sana.
Night club nyingi wanajaa wao, ni malaya wa Zuri sana.
Labda kama hao ma lecturer kutembea nao ndio shida lkn kwa watu wengine ni halali
 
Mkufunzi mwingine alimwambia J E baada ya kumuuliza yuko wapi kwenye kipindi chake hakuonekana na J E akawa yupo kwake, mkufunzi mwanaume eti "nimekumiss leo nimeamua kupika natamani uje uonje chakula changu". Si upuuzi kabisa huo
Haya mambo mtu akisikia anaweza akafikiri ni stori za kutunga kumbe yapo wazi kabisa.

Nimeshangaa sana kusikia bungeni waziri akisema wamepokea visa hata havifiki 20+.

Nina uhakika idadi ya visa wanavyofahamu ni sawa na visa vinavyotokea kwa siku moja tu kwa vyuo 5 vilivyopo Dar es Salaam.

Najiuliza ni wahanga hawaripoti au wanaripoti alafu malalamiko hayafiki kwa ngazi husika.
 
Mkuu hapa kuna vitu viwili, kuna ile hali wanafunzi kula bata (sio sehemu ya mada hii, wala sio tatizo) na kuna ile hali mkufunzi kumtaka mwanafunzi kingono (hii ndio mada na tatizo).

Iwe mwanafunzi anakula bata au anakesha nyumba ya ibada, mkufunzi kumtaka kingono ili afanikiwe kielimu ni rushwa na tatizo kubwa sana.

Ila pia wanawake machepere huwa sio wahanga wa haya mambo maana hata wakufunzi huwa wanawaogopa maana dakika mbili atakuta video ipo insta anakoroma kifala.

Wahanga wakuu huwa ni hawa innocent girls. Na hawa wakufunzi wanajua ku spot victims wao huwa hawaendi kifala fala tu.
 
Sawa mkuu, lkn pia hao walimu wao pia ni binadamu inawezekana wajilengesha wakijua wata saidiwa lkn ikishindikana wanageuza vibao.
Pia kula bata kweny ma nightclub ni shida kwao kwasababu wanapoteza mda mwingi na kupata mawazo ya kishetani
 
Wale waliofaulu kwa rushwa ya ngono ni hao wanaosahau mkasi tumboni baada ya upasuaji. Kwa fani ya sayansi ni hatari sana!!!
 
Pole sana ,jaribu kushinda majaribu simamia haki utakuwa salama milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…