Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Halafu sasa pamoja na polisi kulijua hilo hakuna wanachofanyaView attachment 2337240
Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki.
Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali zao ikiwemo simu na mali zenye thamani.
Sisi wananchi tukiwa kama wahanga wakubwa taomba Serikali, na wasimamizi wa kituo hiki kufanya uchunguzi wa kina wa kubaini wezi hao wanaotumia kituo hiki kama sehemu ya kufanya uhalifu.
Nusu ya watu wanaokuwa kwenye kituo hicho ni wezi .Waafrika tuko vizuri kwenye kuanzisha jambo ila consistence ndio tatizo. Hapo mgambo wakisoma huu ujumbe wataenda asubuhi wakienda kunywa chai ndio imeisha.
Kweli, kingejengwa pale pale Ubungo ilipo sasa stand ya daladala(wanapaita mawasiliano) wangehamisha nyumba wakalipa ili kuwe na dneo la kutosha. Hasa ukizingatia fly over ua Ubungo imepunguza sana foleni.Huu mradi haukutakiwa kabisa kuwepo, hizi public transport hubs ,majiji yote duniani zipo katikati hii inarahisa kila msafiri kupafikia kwa haraka na bila usumbufu mkubwa, mimi nitoke huku kimbiji all the way hadi mbezi, na ninapita kituo cha bus pale shekilango (Sauli)na kusubiria mbezi it's craze
Kikubwa ni kua makini tuView attachment 2337240
Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki.
Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali zao ikiwemo simu na mali zenye thamani.
Sisi wananchi tukiwa kama wahanga wakubwa taomba Serikali, na wasimamizi wa kituo hiki kufanya uchunguzi wa kina wa kubaini wezi hao wanaotumia kituo hiki kama sehemu ya kufanya uhalifu.
Exactly mkuu na hii sio rocket science, why upeleke kule mbezi?au pale ubungo palikua ni safi kabisaKweli, kingejengwa pale pale Ubungo ilipo sasa stand ya daladala(wanapaita mawasiliano) wangehamisha nyumba wakalipa ili kuwe na dneo la kutosha. Hasa ukizingatia fly over ua Ubungo imepunguza sana foleni.
Wewe haujawahi kusafiri zaidi ya Kinondoni /Posta, nakushauri unyamaze waache wahusika wajadiliane.Kikubwa ni kua makini tu
Ahaahaaha dah kimbiji ni kipande adse ...Huu mradi haukutakiwa kabisa kuwepo, hizi public transport hubs ,majiji yote duniani zipo katikati hii inarahisa kila msafiri kupafikia kwa haraka na bila usumbufu mkubwa, mimi nitoke huku kimbiji all the way hadi mbezi, na ninapita kituo cha bus pale shekilango (Sauli)na kusubiria mbezi it's craze
ubungo ni ghala la silaha nzito, ni industrial area, mitambo ya umeme ipo pale.Exactly mkuu na hii sio rocket science, why upeleke kule mbezi?au pale ubungo palikua ni safi kabisa
Rubbishubungo ni ghala la silaha nzito, ni industrial area, mitambo ya umeme ipo pale.
Na wizi piaUshuru wa getini Mbezi Bus Terminal ni ujinga
kinachokera hapo, umekata tiketi ya elfu 60 unawahi gari , jam ya watu ni kubwa unakaa foleni kulipa ushuru wa sh 300 manual, yani ni kero kero kero kero kero ,unaweza achwa na gari kisa ushuru wa mia3