Changamoto za kituo cha Mabasi cha Magufuli Mbezi

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
2022-07-04 (1).jpg

Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki.

Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali zao ikiwemo simu na mali zenye thamani.

Sisi wananchi tukiwa kama wahanga wakubwa tunaomba Serikali, na wasimamizi wa kituo hiki kufanya uchunguzi wa kina wa kubaini wezi hao wanaotumia kituo hiki kama sehemu ya kufanya uhalifu.
 
Waafrika tuko vizuri kwenye kuanzisha jambo ila consistence ndio tatizo. Hapo mgambo wakisoma huu ujumbe wataenda asubuhi wakienda kunywa chai ndio imeisha.
 
Huu mradi haukutakiwa kabisa kuwepo, hizi public transport hubs ,majiji yote duniani zipo katikati hii inarahisa kila msafiri kupafikia kwa haraka na bila usumbufu mkubwa, mimi nitoke huku kimbiji all the way hadi mbezi, na ninapita kituo cha bus pale shekilango (Sauli)na kusubiria mbezi it's craze
 
View attachment 2337240

Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki.

Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali zao ikiwemo simu na mali zenye thamani.

Sisi wananchi tukiwa kama wahanga wakubwa taomba Serikali, na wasimamizi wa kituo hiki kufanya uchunguzi wa kina wa kubaini wezi hao wanaotumia kituo hiki kama sehemu ya kufanya uhalifu.
Halafu sasa pamoja na polisi kulijua hilo hakuna wanachofanya
 
Waafrika tuko vizuri kwenye kuanzisha jambo ila consistence ndio tatizo. Hapo mgambo wakisoma huu ujumbe wataenda asubuhi wakienda kunywa chai ndio imeisha.
Nusu ya watu wanaokuwa kwenye kituo hicho ni wezi .
 
Stendi kubwa jengo ila efficiency yako iko chini. Design iliwekwa mlango wa kushusha abiria uwe ndani ya sehemu ya kutembelea ila basi zenye zinapark kinyume.
 
Huu mradi haukutakiwa kabisa kuwepo, hizi public transport hubs ,majiji yote duniani zipo katikati hii inarahisa kila msafiri kupafikia kwa haraka na bila usumbufu mkubwa, mimi nitoke huku kimbiji all the way hadi mbezi, na ninapita kituo cha bus pale shekilango (Sauli)na kusubiria mbezi it's craze
Kweli, kingejengwa pale pale Ubungo ilipo sasa stand ya daladala(wanapaita mawasiliano) wangehamisha nyumba wakalipa ili kuwe na dneo la kutosha. Hasa ukizingatia fly over ua Ubungo imepunguza sana foleni.
 
View attachment 2337240

Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki.

Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali zao ikiwemo simu na mali zenye thamani.

Sisi wananchi tukiwa kama wahanga wakubwa taomba Serikali, na wasimamizi wa kituo hiki kufanya uchunguzi wa kina wa kubaini wezi hao wanaotumia kituo hiki kama sehemu ya kufanya uhalifu.
Kikubwa ni kua makini tu
 
Kweli, kingejengwa pale pale Ubungo ilipo sasa stand ya daladala(wanapaita mawasiliano) wangehamisha nyumba wakalipa ili kuwe na dneo la kutosha. Hasa ukizingatia fly over ua Ubungo imepunguza sana foleni.
Exactly mkuu na hii sio rocket science, why upeleke kule mbezi?au pale ubungo palikua ni safi kabisa
 
Kituo kilijengwa kwa shiinikizo la kisiasa.
Hakukuwa na haja ya kukiOndoa Ubungo, wangekiacha palepale, wangeboresha miundombinu ya barabara za kuingia na kutoka kituoni, wangepajengea ghorofa ili paweze kuhudumia magari na abiria wengi zaidi.

Ubongo panafikika kirahosi sana kutoka sehemu yoyote ya mji
 
Huu mradi haukutakiwa kabisa kuwepo, hizi public transport hubs ,majiji yote duniani zipo katikati hii inarahisa kila msafiri kupafikia kwa haraka na bila usumbufu mkubwa, mimi nitoke huku kimbiji all the way hadi mbezi, na ninapita kituo cha bus pale shekilango (Sauli)na kusubiria mbezi it's craze
Ahaahaaha dah kimbiji ni kipande adse ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msamvu hivyo hivyo! Sijui kama security camera kama zimerudishwa;
 
kinachokera hapo, umekata tiketi ya elfu 60 unawahi gari , jam ya watu ni kubwa unakaa foleni kulipa ushuru wa sh 300 manual, yani ni kero kero kero kero kero ,unaweza achwa na gari kisa ushuru wa mia3

Siku nyingine ukikataka ticket usilipie hiyo Tsh 300

Onyesha ticket yako then ingia
 
Mtu yupo na ticket ya safari lakini analipia ushuru wa kuingia stand, this is crazy kwa kweli.

Mbezi pako spacious tofauti na ubungo, inlets na outlets zikijengwa vizuri mbezi hapawezi kuwa na congestion ya watu na magari. Tuna tatizo kubwa la usimamizi huwa tunajenga vitu vizuri ila hatuna plan nzuri za kuvisimamia, likewise mwendokasi...
 
Back
Top Bottom