Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

Nakumbuka kipindi nipo shule ya msingi hata bado sijabalehe.nilikuwa nashea chumba na kaka angu mkubwa ila kitanda viwili tofauti..
Basi alikuwa na dem wake nyumba ya pili..

Kwa umri ule nilikuwa naingia kulala mapema..
Sometimes usiku wa manane unashtukia makelele wanatiana..
Dem anatiana kinoma, anamakelele pia anamwaga maji balaa,jamaa walijua kunitesa..
Mpaka nilipopatiwa chumba changu wakati naingia sekondari ndo ilikuwa nafuu yangu
 
Wanakera sana
 
2012 nikiw ndio malizia chuo nilikua nimepanga Temeke.Bas kuna jamaa yangu alikua anakaa hostel nikamwambia njoo kwa kipindi hiki utulie home unavyojipanga kutafuta gheto au jurud nyumbani mkoani maana shule ndio imeisha.

Basi yule jamaa alikua mlokole aisee alikua anapiga maombi vibaya sana kila asubuh sanaq na jion pale gheto saaa mimi nikawa naona hii kitu ni nzuri (ofcz na mimi ni mkristo muumin safi) .Nikawa naona huu ni usumbufu kwa wapangaji wengine.Af jamaa akwa anaongea kwa nguvu kabisa akiwa anaomba "Kama kuna wachawi mahali hapa nawateketeza kwa jina la yesu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikawa naona jau sana.

Ni jamaa yangu sana ila ikabid nimuombe awe anasali taratibu bas mana Mungu atasikia tu. [emoji16][emoji16][emoji4]
Hahaaa mkuu. Kama nawaona majirani walivyokuwa wanasonya humo ndani mwaoo jamaa akianza maombi.
 
Ukutane na mtu kama huyu
FB_IMG_16415235750550810.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi shida ilikuwa nakutana na wadada ni wachafu,mmoja huyo alikuwa mzenji jamani anaweza lala na kiatu kitandani et kisa kachoka
Huyo wa pili sasa alikuwa yeye anachojua ni kuvaa lakini mambo ya ndani usimuulize nyumba iko rafu mda wote na ilikuwa nikimbeba kwenye matumizi lakini ikitokea kapata hela anaenda kununua nguo jamani inachosha aswa!
Story zetu zinafanana.. hakika inaumiza sana wewe kuwa mstaarabu na kujitoa kwa mwenzio ila at the end unalipwa ubaya.
 
Chumba na sebule jamaa angu....
Asa akafungua banda la chipsi nyumba ya pili jirani.
Sebule ikageuka stoo ya Banda la Chipsi sasa.
1. Viazi kama gunia hivi vimemwagwa ( huwa vina kiarufu flani hivi).....
2.Makabati na majiko jioni yanaingia ndani.
Basi wana wengine( wa kwangu mimi) wakija full kunitania....
"Oyaa naona umepanga chumba na store yake...."
" oya hii ni chumba na seble sio sebule ..."

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ilikuwa ni chuo Mwaka wa 2....ni Ngumu sana wana kutokuja Gheto.
Huu utani ulikuwa mkubwa sana sababu First year kipindi nakaa mwenyewe, mambo yalikuwa vizuri.
Mpaka likazuka jina la "gheto la Ngwair"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha kufananisha ghetto la Ngwair na vitu vya ajabu
 
Chumba na sebule jamaa angu....
Asa akafungua banda la chipsi nyumba ya pili jirani.
Sebule ikageuka stoo ya Banda la Chipsi sasa.
1. Viazi kama gunia hivi vimemwagwa ( huwa vina kiarufu flani hivi).....
2.Makabati na majiko jioni yanaingia ndani.
Basi wana wengine( wa kwangu mimi) wakija full kunitania....
"Oyaa naona umepanga chumba na store yake...."
" oya hii ni chumba na seble sio sebule ..."

Dah umeamua uje kunisema huku, ila elewa ilikua ni katika harakati za utafutaji tu
 
Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi.

Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua nyumba nzima ya vyumba vitatu wanagawana vyumba. Lakini wanapika jiko moja na kuoga bafu moja.

Changamoto nyingi zinaanzia kwenye usafi, chakula na matumizi ya sitting vroom. Kama mnakula pamoja kuna wanategea kununua chakula na wengine kunywa hata pombe za wengine.

Usafi pia huwa ni kero ya ziada.

Ni ngumu Sana, kuna watu wavivu, wachagu, wabahili and very stinge; siwezi ishi na mtu, labda Ndugu yangu maana I may surcrifice bila kuumia!
 
Back
Top Bottom