Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

Nakumbuka kipindi nipo shule ya msingi hata bado sijabalehe.nilikuwa nashea chumba na kaka angu mkubwa ila kitanda viwili tofauti..
Basi alikuwa na dem wake nyumba ya pili..

Kwa umri ule nilikuwa naingia kulala mapema..
Sometimes usiku wa manane unashtukia makelele wanatiana..
Dem anatiana kinoma, anamakelele pia anamwaga maji balaa,jamaa walijua kunitesa..
Mpaka nilipopatiwa chumba changu wakati naingia sekondari ndo ilikuwa nafuu yangu
 
Wanakera sana
 
Hahaaa mkuu. Kama nawaona majirani walivyokuwa wanasonya humo ndani mwaoo jamaa akianza maombi.
 
Story zetu zinafanana.. hakika inaumiza sana wewe kuwa mstaarabu na kujitoa kwa mwenzio ila at the end unalipwa ubaya.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ilikuwa ni chuo Mwaka wa 2....ni Ngumu sana wana kutokuja Gheto.
Huu utani ulikuwa mkubwa sana sababu First year kipindi nakaa mwenyewe, mambo yalikuwa vizuri.
Mpaka likazuka jina la "gheto la Ngwair"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha kufananisha ghetto la Ngwair na vitu vya ajabu
 

Dah umeamua uje kunisema huku, ila elewa ilikua ni katika harakati za utafutaji tu
 

Ni ngumu Sana, kuna watu wavivu, wachagu, wabahili and very stinge; siwezi ishi na mtu, labda Ndugu yangu maana I may surcrifice bila kuumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…