Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

Yale yale ....kila mtoto anakuja na riziki yake...wabongo bwana tuna misemo ya kijinga sana. Ndio yale ya mtoto wa kuzaliwa nje ya ndoa tunasema mtoto ni baraka kutoka kwa mungu.

Tuache ujiinga bwana mtoto haji na riziki yake. Mtoto anaandaliwa mpaka anakuwa mtu wa maana kwenye jamii. Haya mambo ya fyatua and hope for the best tuyaache. Hii misemo yakifala sana
 
Hiyo usukumani ni kawaida, kuna lijamaa likubwa linakaita mama kabinti kadogo, nilishangaa sanaaa baada ya kuuliza nkapewa ifafanuzi kuwa hako kabinti ni katoto ka baba yake na mama yake jamaa
"Mama", "baba", "kaka", "dada" ni cheo ambacho wewe kwa kutamka tu, hakikupunguzii hadhi ama utu mkuu.

Ni kama ilivyo kwenye vyeo vya serikali, boss wako aweza kuwa na umri wa mjukuu wako na ukamtii.

Sasa labda nikuulize, ikatokea ukaanzisha mahusiano na mwanamke flani ama ukaamua kumuoa, baadaye ukagundua ba'mkwe ana dada yake mdogo kuliko umri wa mkeo, hapo hauangushi "shikamoo" ya nguvu kwa hako kashangazi kenu kadogodogo[emoji38][emoji38][emoji38]?
 
Utasemesha mtoto na Pension? So sad.Age kama hiyo sio fare kuzaa

Halafu uwezo wake wa kiakili ukimzaa umri huo na mkeo toto shuleni lazima liwe kaputi kichwani as time goes on utagundua hilo

Umri huo sio wa kuzaa
Acha kunenea watoto wa watu maneno mabaya,kuna mazezeta wangapi wanazaliwa na vijana ww ukiwa mmoja wapo??
 
Katika umri mkubwa zaa na msichana mdogo ili wewe jua likitua umuachie huyo msichana kazi ya malezi pamoja na mafao yako uliyoacha.
Wewe wasema, kama umri umeenda na ukaoa binti mdogo ni majanga, kuna jirani yangu hapa yeye ni mtu mzima na. Mkewe ni binti tu. Binti anagawa mtaani balaaa. Watoto wawili kati ya watatu aliozaa na jamaa sio wa jamaa
 
Una uhakika huyo ni mwanao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepishana na Lowasa miaka michache sana ila bado unaonekana kijana mkuu
 
Happy birthday brother, Mungu akupe maisha marefu kaka. Wewe ni moja ya watu mnastahili kuwa na kitabu cha kuelezea maisha yako ya uandishi/utangazaji.

Guru wa mahojiano, Respect brother!
Mkuu MTAZAMO , asante sana, kila siku huwa nasema nitaandika ila pilika za kukimbizana na shilingi, zinanikosesha muda. Kama Mama ataendelea na hii trends anayokwenda nayo, then I hope this time around nitaanza compilation.
Kiukweli nimepitia mengi kustahili kuyaandika and share ili kwa wengine, maisha yangu yawe ni shamba darasa kwao.
 
Mkuu Goldschmidt , kwanza asante sana kwa kuwa mkweli, bonafide genuine, watu huwa hatupendi kuambiwa ukweli mchungu, hiki ulichosema hapa ni ukweli mchungu!.

It's true watoto 8, now 9 ni wengi. Mimi ni a modern man, niliao a classmate sweetheart Mimi nikiwa at 25 years mwenzagu 21, tukahama nchi kwenda UK tukapata mtoto wa kwanza a girl then tukahamia US tukapata mtoto wa pili, a boy tukaamua that is it. Hatuhihitaji tena kuongeza watoto.

Wife akapata full sponsored fellowship ya 4 years US mimi ndio niwe house husband na babysitter wa watoto wetu wawili. Very unfortunately, nilishindwa nikamwacha wife US na kurudi Bongo.

Long distance relationships doesn't work well Kwa baadhi ya makabila, so does maisha ya u Marioo, yaani mke ndio mwenye kazi, pesa, mimi niwe Marioo. Wasukuma ni one of such tribes.

Hivyo niliporudi kuishi bongo huku wife US, nikajikuta wametokelezea watoto 3. 2 boys and a girl hivyo I had 5 kids. (naomba usiulize ufafanuzi wowote kuhusu hawa watoto 3).

Wife baada ya kumaliza shule with news ya uwepo wa watoto 3, wife akaamua kugomea US hivyo mimi nikawa sina jinsi bali kurudi Bongo na kuendeshea na life.

Mwaka 2008 I suffered a bad motor accident, I was confirmed to a wheelchair!. Hapa akajitokeza kabinti fulani with a heart of gold, she came with love and care , kiukweli mtu ukiwa invalid confined to a wheelchair, akatokea mtu kupenda hivyo ulivyo, ni very rare and amaizing love.

She told me something was telling her tukijaribu pengine, nitaweza kupona. She made some efforts tukahangaika huku na kule, tukaenda South gharama zikatushinda , tukaenda India, ndiko nilikoponea na kusimama tena!.

Baada ya kupona na kurudi Bongo,
kwanza nitoa shukrani kwa yote niliyopitia

nikajikuta zawadi pekee kwa huyu binti ni ndoa, hivyo 2010 nikaoa tena, by then nikiwa over 40!.

Kabinti kakanizalia 3 beautiful daughters the number was 8, ilipotokea tena dalili ya ugeni, we didn't say no, then ndio hiyo jana kaleta kidume, na kiukweli hapo sasa ndio mwisho.
P
 
Paskali hajajibu huyu junior, ni wa kutokea mke yupi??

Waliyepata naye watoto walio na watoto?? Waliyeishi naye miaka yote?!

Wanayeishi naye sasa!?
 
Umepishana na Lowasa miaka michache sana ila bado unaonekana kijana mkuu
Kuwa serious kidogo Mkuu, labda umlinganishe Mkuu P, na Le Mutuz king of all social media, mamvi yupo mbali wewe! Miaka 68+ siyo kidogo, Lowassa yupo la pili Paskali ndiyo anazaliwa!

Halafu Edo lazima achoke mapema, wapiga deal wanakuwaga na stress Sana. Za huku na kule! Wanaishi Ka digidigi hawajui nani adui au rafiki wa kweli! Hawali hawalali vizuri! Shidaaah Ka kunguru!
 
Mkuu Sakasaka Mao , asante sana kwa mchango wako huu, kiukweli ni faraja kubwa. Sisi nyumbani tulizaliwa 8, hivyo dingi akajenga ghorofa ili tuenee.

Baada ya watoto wote kujitegemea lile jumba ni empty, wazee walikuja kuwa lonely wakitafuta wajukuu wa kuishi nao huku kila mtoto ameatamia familia yake.
The house now is too big, kui maintain ni issue!.

I did the same, kujenga nyumba kubwa ili hao 8 waenee, now wameanza kuondoka ila mimi I have plans in place, some rooms will turn into home office, Kwa vile napenda sana vitabu, licha ya vast digital library ya vitabu, bado napenda hardbacks, hivyo one room will turn to home library. Na chumba kingine kitakuwa home studio.

You have given me a new perspective ya having a kid at 50+, this is one more reason to be a proud father at 50+.
Thank you.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…