Changamoto za kupata mwenza JF

Changamoto za kupata mwenza JF

Mbona kama angalizo la upande mmoja tu?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Umepatia kabisa!!!

Mimi niliweka bandiko langu hapa nikasema kabisa sitaki viserengeti boys ila eti Mtoto ka miaka 20 akanifuata PM... Si uchokozi huoooo! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usiwe na shaka wakati wako ukifika utampata atakaye fanana nawe
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Umepatia kabisa!!!

Mimi niliweka bandiko langu hapa nikasema kabisa sitaki viserengeti boys ila eti Mtoto ka miaka 20 akanifuata PM... Si uchokozi huoooo! [emoji16][emoji16][emoji16]
ahahaaa pole anataka umbemende?
 
Umepatia kabisa!!!

Mimi niliweka bandiko langu hapa nikasema kabisa sitaki viserengeti boys ila eti Mtoto ka miaka 20 akanifuata PM... Si uchokozi huoooo! [emoji16][emoji16][emoji16]
Weka limit ya miaka basi tujiases
 
Umepatia kabisa!!!

Mimi niliweka bandiko langu hapa nikasema kabisa sitaki viserengeti boys ila eti Mtoto ka miaka 20 akanifuata PM... Si uchokozi huoooo! [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona mimi sijaliona hilo bandiko? Ningekuwa wa kwanza.
 
Yaan limekaa kama wanaotoa matangazo ni wa kwel 100% wakat sio kwel maana kuna mmoja alinisababishia Ban kisa utata wa jinsia yake.
Na ndio maana hata wanaojibu hayo matangazo wanajibu utumbo kwasababu wanajua waweka matangazo wanachezea watu akili.
 
Back
Top Bottom