Changamoto za kupata mwenza JF

Changamoto za kupata mwenza JF

Ubaguz, Ubinafc, Na Kutojiamin Ndo Husababsha Vjana Wachelew Kuoa/Kuolewa. Wakiume Hupendelea Mabint Wenye Muonekano Mzr Machon Pa Watu Lkn Hujstukia Km Hajajpanga Kmaisha Huku Akiogopa Kuibiwa. Huku KutoKujiamini Kwa Kijana Wa Kiume Au Wa Kike Kwan Km Wote Wanatzama Maisha Km Sehem Ya Kupambana Wanaweza Ishi. Mabint Wao Huwa Na Full Of Vigezo Na Mashart Utadhan Wanatangaza Ajira. Mwanadamu Kaumbwa Na Mungu, Ss Unapo Muumba Mwanaume Wa Kukuoa Kwa Fikra Huku Ukiweka Vgezo, Nae Anavgezo Vyake Pia. Omba Vimatch Itakua Bahat Kwako Lkn Vkmismath Inakula Kwako. Mf. Km Kigezo Cha Binti Ni Pesa Au Elimu Af Umesubr 10yrs Hujapata, Jua Hao Co Type Yako. Ndoa Ckuhz Wanaangalia Kipato, Elimu, Dini. Jiulize Yako Wap Mapenzi? Watu Wanachukuana2 Ili Waish Na Kuzaa Watoto Pengine Hata Co Wako. Lkn Cwez Laumu Najua Ni Umackin Ndo Sababu. Km Yale Mapenz Ya Utotoni(balehe) Yangekua Yanafka Huku!!, Maana Yalikua Hayabagui Mtu. Ni Mtazamo Wangu2 Afterall Ndoa Ni Maamuz Ya M2 Husika, So Usisingizie Mungu Wala Hahati.
 
Duuh chamoto ni nyingi ilangoja tukomae tuta pata tyuu
 
Ukweli mnaotafuta haswa wanawake niwaongo walaghagai wakubwa
 
Pole Kwa Yaliyokukuta. Na Wewe Ulikua Wapi Mda Wote Usiolewe Mpaka Una 40 Ndo Uje Jf Kutafta.
 
Back
Top Bottom