Changamoto za kupata mwenza JF

Changamoto za kupata mwenza JF

Sio kwamba huku wanaopost kutafuta wenza wana kasoro kwamba wamekosa wenza, huko walipo ni maisha tu mke au mume anaweza kupatikana popote pamoja na kuwepo post nyingi hapa ila imekuwa ni shida sana kupata mtu kwa upande wangu mimi nimeona changamoto zifuatazo;

Moja; Ukurupukaji na unafiki
Mtu anapost sifa za mtu ambae anazitaka mtu unajijua kabisa huna hata robo ila unaanza kumfukuzia huko ni kupotezeana muda, soma posti kwa makini kama huna acha kabisa subiri wa kufanana nae.

Mbili; Matapeli
Hawa nao wana familia zao basi tu kukusanifu ili akujue, kwani ukishamjua mtu huku unadhani unapata nini? Au utamfanya nini? Kama unajiona unajua kupeleleza sana kasaidie serikali kule kibiti mfyu.

Tatu;
Kutojipanga mtu hajajipanga kimahusiano au kindoa, posti inasema mtu anahitaji ndoa unaanza kumtafuta kumbe mipango yako ya kuoa au kuolewa hadi 2025! Subiri wakati wako ukifika ndo utafute ukiona mtu anatafuta mwenza ujue kachoka kuishi peke yake anataka mtu asap! Muache acha kumpotezea muda.

Nne
Location
Soma vizuri location ya mtafutaji mtu yupo songea anatafuta mke au mume na wewe upo chato na unajijua kabisa huwezi kuhama hata kwa winchi au yeye unajua kabisa kukufata alipo ni ndoto bado unajifanya kumfukuzia huko ni kupotezeana muda na mb pm na muda wa maongezi.

Tano
Dini
Mtu anasema kabisa dini yake na dini aitakayo unajijua kabisa wewe ni msabato bado unajilazimisha kwenda kwenye pm ya mtoto wa mtume wa saudi arabia kweli? Masalia na dini ya haki wapi na wapi?
Madame umetisha ...emu chukua 3 gold hapo ACACIA ntalipa nikirud london
 
Na ndio maana hata wanaojibu hayo matangazo wanajibu utumbo kwasababu wanajua waweka matangazo wanachezea watu akili.
unajuaje mtu anawachezea akili.unawahukumu watu mia kwa kosa la mtu mmoja?
 
unashepu ya kutafutwa, sasa hivi ilibidi uwe ndani. Au sio wewe kwenye hiyo profile?[emoji85]
 
Umekaa na lijamaa kwenye vichaka tunapita tunawaona kesho unatafuta mume ...ukikosa unamlaum shetani! Unajiharibia sif za kuitwa mke mbele za watu.

Unavaa visuruali vime chora maungo yako kesho unatafuta mume unakosa unamsingizia shetani!...

Unatoa kauli mbaya hadi jirani wanakujua nani anataka manual speaker kwenye ndoa yake.

Unakutana na dada kavaa kabana makalio mjini na wigi la mkorea sasa nani aweke hiyo liability ndani?

Unatumika unadai unakula ujana...nani amalizie uzee wako ?

Mchawi hayupo ila ni wadada wenyewe ndo wachawi sisi watoto wa West London hatuna shida ...tunawaangalia tu.
 
sasa pm unafata nini?
 
Ukwel mtupu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Madame umetisha ...emu chukua 3 gold hapo ACACIA ntalipa nikirud london
ahsante mkuu maneno yametulia haya
Sio kwamba huku wanaopost kutafuta wenza wana kasoro kwamba wamekosa wenza, huko walipo ni maisha tu mke au mume anaweza kupatikana popote pamoja na kuwepo post nyingi hapa ila imekuwa ni shida sana kupata mtu kwa upande wangu mimi nimeona changamoto zifuatazo;

Moja; Ukurupukaji na unafiki
Mtu anapost sifa za mtu ambae anazitaka mtu unajijua kabisa huna hata robo ila unaanza kumfukuzia huko ni kupotezeana muda, soma posti kwa makini kama huna acha kabisa subiri wa kufanana nae.

Mbili; Matapeli
Hawa nao wana familia zao basi tu kukusanifu ili akujue, kwani ukishamjua mtu huku unadhani unapata nini? Au utamfanya nini? Kama unajiona unajua kupeleleza sana kasaidie serikali kule kibiti mfyu.

Tatu;
Kutojipanga mtu hajajipanga kimahusiano au kindoa, posti inasema mtu anahitaji ndoa unaanza kumtafuta kumbe mipango yako ya kuoa au kuolewa hadi 2025! Subiri wakati wako ukifika ndo utafute ukiona mtu anatafuta mwenza ujue kachoka kuishi peke yake anataka mtu asap! Muache acha kumpotezea muda.

Nne
Location
Soma vizuri location ya mtafutaji mtu yupo songea anatafuta mke au mume na wewe upo chato na unajijua kabisa huwezi kuhama hata kwa winchi au yeye unajua kabisa kukufata alipo ni ndoto bado unajifanya kumfukuzia huko ni kupotezeana muda na mb pm na muda wa maongezi.

Tano
Dini
Mtu anasema kabisa dini yake na dini aitakayo unajijua kabisa wewe ni msabato bado unajilazimisha kwenda kwenye pm ya mtoto wa mtume wa saudi arabia kweli? Masalia na dini ya haki wapi na wapi?
 
We mwenyewe ushatafuta hapa sijui ulipata au ndo baada ya kukosa umeamua kulalamika?
 
Umepatia kabisa!!!

Mimi niliweka bandiko langu hapa nikasema kabisa sitaki viserengeti boys ila eti Mtoto ka miaka 20 akanifuata PM... Si uchokozi huoooo! [emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseee mbona sikua taged, au ni bandiko la kitambo?
 
Back
Top Bottom