Changamoto za Malezi: Ukigundua umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

Ngoja wazazi tukae kimya tu, maana tukifunguka mnaweza mkatufundisha hata jinsi ya kulea watoto....teh[emoji12]
 
Kweli mkuu
 
HAO WALE WATOTO WENU AKINA JUNIOR. Endelei kuwalea hivo. Mtakuja kutupa majibu.
Junior ana hisia,ana mawazo,ana kila kitu km mim,tofauti ni umri kuwa mdogo,hivyo namkuza ajue kuheshimu hisia za wengine na aje kuwa raia bora
 
Mimi ninapomkosea mtoto wangu huwa namuomba msamaha na kumpa hugs za kutosha hadi nyongeza. Likewise akinikosea huniomba msamaha na kuhakikisha nimecheka kabla hajaendelea na mishe nyingine. He is just four years and saying sorry to each other is our life style.
 
Telling the truth,admit your mistakes and ask for his/her forgiveness, itamjenga mtoto kuwa loyal na kuwa responsible katika makosa yake, pia itamjengea tabia ya kuomba msamaha pale anapoona amekosea na itamfanya kujifunza kutokana na makosa

Tatizo wazazi wa kibongo sijui ni stress, hawawezi kuomba watoto msamaha, tena hawajui kuwaambia watoto ukweli, wana kazi ya kuwadanganya watoto mwisho wa siku tunatengeneza taifa la waongo na ndio maana hata viongozi wetu wengi ni waongo na hawapendi kuwajibika pale wanapokosea
 
Nimekuelewa
Umenena vema.
 
Magufuli aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini ulidhani anatania?
 
Ambaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu.
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…