Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako?
Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?
(1) Just imagine umemchapa mtoto kwa kumhisi anang'ata buttons za remote controller ya TV kumbe sio yeye bali ni panya ndio wanaharibu? Au;
(2) Mwanao umemkosea ulipomgombeza kumbe siyo yeye aliyemwaga maziwa...!!!!!
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto unafanya nini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Baadhi ya maoni ya wadau
=========

Kwanza Mzazi hakosei ni suala la kikanuni tu hasa katika malezi. Kitendo cha mtoto kufanya jambo ambalo linapelekea mzazi amkosee nacho ni kosa. Ila sasa iwapo umempa mtoto adhabu kimakosa basi unapotambua mnazungumza naye katika msingi ya kumwambia kwamba ahakikishe hafanyi ilo kosa. Adhabu uliyompa inakuwa tu ni kama pre warning inamsaidia kujua kwamba lile ni kosa kwa herufi kubwa.
mzazi hakosei? Kwani kuna mzazi malaika? Hapo tunajifariji kwa ajili ya kuogopa kushuka,shuka ndugu hapo ndipo penye unyenyekevu
Mtoto akikosewa anaombwa msamaha kabisa,yeye ndipo anapojifunza kuwa akikosea naye aombe msamaha.maisha ya famiia ni uwazi na ukweli ndiyo hunogesha mahusiano,hata km ni mtoto wa kindergaten unamwomba tuu.mf ohh mwanangu nilikosea nilipokugombeza kumbe siyo wewe uliyemwaga maziwa,nisamehe mwanangu,then una mb