Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Unaomba msamaha, ukitaka heshima lazima uheshimu wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamwambia ahakikishe anajua ni nani anakula rimoti na aihihfdhi sehemu ambayo panya ahwafikii,ikiwezekana analala nayo kabisa.Hayo ndio malezi.Unampa mtoto principles Justice atajifunza mwenyeweJust imagine umemchapa mtoto kwa kumhisi anang'ata buttons za remote controller ya TV kumbe sio yeye bali ni panya ndio wanaharibu...
Lakini tayari unajua kuwa umemchapa kimakosa?Unamwambia ahakikishe anajua ni nani anakula rimoti na aihihfdhi sehemu ambayo panya ahwafikii,ikiwezekana analala nayo kabisa.Hayo ndio malezi.Unampa mtoto principles Justice atajifunza mwenyewe
Sawa mkuu...Unamwambia ahakikishe anajua ni nani anakula rimoti na aihihfdhi sehemu ambayo panya ahwafikii,
Hapana mkuu sijamkosea mtoto ila nimewaza tu...Nadhani unatafuta namna ya kuyaweka sawa na mtoto,
Okay mkuu...Mtoto hatakiwi kujua kama hapa mzazi amekosea,
Really? Hahahahahahahaaaaaaaa.hivi vitoto vikijua havichelewi kukuaibisha mbele za watu
Kwanini mzazi hasikosee?sawa kabisa. Mzazi huwa hakosei. Kitendo cha mtoto kumfanya mzazi amchape kimakosa hilo lenyewe ni kosa kwa mtoto na anastahili nyongeza ya viboko.
Khaaaaaaa nawaonea huruma wanao [emoji23][emoji23][emoji23]sawa kabisa. Mzazi huwa hakosei. Kitendo cha mtoto kumfanya mzazi amchape kimakosa hilo lenyewe ni kosa kwa mtoto na anastahili nyongeza ya viboko.
Sawa binti...Kama mzazi kuna wakati mtoto anakosea namchapa af baadae nagundua kua ningeweza kumuonya kwa mdomo tu,
HAO WALE WATOTO WENU AKINA JUNIOR. Endelei kuwalea hivo. Mtakuja kutupa majibu.Mtoto akikosewa anaombwa msamaha kabisa,yeye ndipo anapojifunza kuwa akikosea naye aombe msamaha.maisha ya famiia ni uwazi na ukweli ndiyo hunogesha mahusiano,hata km ni mtoto wa kindergaten unamwomba tuu.mf ohh mwanangu nilikosea nilipokugombeza kumbe siyo wewe uliyemwaga maziwa,nisamehe mwanangu,then una mb
mzazi hakosei? Kwani kuna mzazi malaika? Hapo tunajifariji kwa ajili ya kuogopa kushuka,shuka ndugu hapo ndipo penye unyenyekevu
Waombeni msamaha, then baada ya miaka michache mje mtupe mrejesho.Kwanini mzazi hasikosee?
huoni huo ni ukoloni kabisa?
Ndo maana kuna watu waoga sana wa kufanya vitu,kuuliza kwa sababu wanaogopa kumkosea mtu ambaye yupo kama yeye, hata shule hivyohivyo eti mwalimu hakosei.
wapo vizuri sana. njoo kafanye ziara ya kujifunza uwaone walivyo na nidhamu na walivyo makini.Khaaaaaaa nawaonea huruma wanao [emoji23][emoji23][emoji23]
Ok mimi nimeombwa msamaha na wazazi wangu tangu nina miaka7.Waombeni msamaha, then baada ya miaka michache mje mtupe mrejesho.
Naunga mkono wazo lako 100%Mtoto akikosewa anaombwa msamaha kabisa,yeye ndipo anapojifunza kuwa akikosea naye aombe msamaha.maisha ya famiia ni uwazi na ukweli ndiyo hunogesha mahusiano,hata km ni mtoto wa kindergaten unamwomba tuu.mf ohh mwanangu nilikosea nilipokugombeza kumbe siyo wewe uliyemwaga maziwa,nisamehe mwanangu,then una mb
mzazi hakosei? Kwani kuna mzazi malaika? Hapo tunajifariji kwa ajili ya kuogopa kushuka,shuka ndugu hapo ndipo penye unyenyekevu