Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Kama unatumia chrome, kuna vile vinukta vitatu ukibofya hapo nenda kaweke tick kwenye desktop site, chrome yako itafunguka na kuwa na muonekano wa computer.
Acha uongo wewe. Hata uki tick kwenye mfumo wa desktop bado neno 'jisajili' halipo, period.
 
Acha uongo wewe. Hata uki tick kwenye mfumo wa desktop bado neno 'jisajili' halipo, period.
Next time usiwe mbishi.... Wanaotumia simu baada ya kubadili kuwa kwenye desktop unapoona umelikosa neno jisajili... Tizama kwa pembeni upande wa chini... Bonyeza neno lililoandikwa Bonyeza hapa
 
Kaka Mkubwa Samahan...Hapo kwenye mwaka wa kumaliza chuo ulifanyaje maana kwangu hapa imetulia tu na siwezi hata kuandika huo mwaka?...
 
Nataka kubadilisha attachment ya cheti Cha kuzaliwa kwenye taarifa binafsi, nafanyaje wakuu au ndo imekula kwangu mana nimekosea
Kwenye attachment ya cheti Cha kuzaliwa nimeweka cheti kingine
 
Nimechagua elimu..ila kwa profile wanaleta categories za afya. Na sioni sehemu ya ku edit kurudi nyuma. Kama kuna mtu kakutana na challenge tafadhali.
 
Nataka kubadilisha attachment ya cheti Cha kuzaliwa kwenye taarifa binafsi, nafanyaje wakuu au ndo imekula kwangu mana nimekosea
Kwenye attachment ya cheti Cha kuzaliwa nimeweka cheti kingine
Kuna sehemu pameandikwa ondoa, ondoa then weka upya
 
Kwa mtu aliyemaliza Bachelor of arts with education pale Mwanza St. Augustine University of Tanzania.
Sasa nashindwa kuandika pale kwenye taarifa za chuo naomba msaada wenu. Mana kwenye college sielewi nikiweka jina la chuo kwenye course hakuna bachelor of arts with education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…