Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Sasa ndugu yangu huoni kama unataka ufananishe mbigu na ardhi kama wasemavyo waswahiliKwa hiyo ni kosa la nani
Vipi kuhusu mitandao kama Google', facebook, jamiiforums nk yenye watumiaji wengi kuliko hiyo ya tamisemi?
Yani unataka upambanishe servers za makampuni kama facebook na google na servers za TAMISEMI kweli?
Kosa sio la mtu wa IT ndugu ,sema jaribu kupeleka hizi lawama kidogo kwa wizara yako kwanza
Naomba niulize swali dogo la kizushi, hivi walimu huwa wananua vitabu vya kufundishia vingine pale wanapogundua vilivyopo havikizi mahitaji ya mtaala?