Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

mimi imenigomea...kuattach vyeti vya chuo....
kaka samahani,nimekuquote kwa sababu nakuamini,naomba nisadidie maswali yafuatayo. 1.je tunaambatanisha barua ya kujitolea? na kama yes, barua inawekwa wapi 2.tunatumia copy za vyeti vyenye muhuri wa mwanasheria au vyet og? Nimeuliza hayo kwa sababu simu yangu haina uwezo,nijibu ili nijue naenda na nn mjini kutuma.
 
Kwan Ina maana tamisemi hakuna ma IT au ndio kwakuwa ndio serikalini? Maana kinachoendelea kwenye huu mfumo ni uzembe wa hali ya juu sana.
 
Wale wa afya, kipengele cha kuselect course mnfanyaje, kwangu ni mtihani.
Naona mfumo bado haujawa kamili, kuselect course na mkoa/halmashauri bado ziko inactive...

Ina maana kuna baadhi ya data bado wanazifeed... Na ndo maana kuna muda mfumo wanauzima ili kuupdate mfumo.
 
sehemu ya kuattach vyeti vya chuo imefunguka....
mpyaaaaaaaaaa.JPG
 
kuna hii shida hapa almost nusu saa sasa nahangaika jinsi ya kurudi kujaza taarifa za elimu ya chuo ila sipati pa kurudia mwenye uelewa nime stuck hapa

IMG20220422161328.jpg
 
Back
Top Bottom