Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Habarin wana jf. Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofaut wa herufi i walokosea nida ndo na Necta wanashndwa leta particulars zang?
 
UTAKUWA unakosea kuandika hiyo namba ya mtihani...au index namba
 
Habarin wana jf. Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofaut wa herufi i walokosea nida ndo na Necta wanashndwa leta particulars zang?
tayari tofauti ipo hapo ya i
 
pia jaribu kuweka ile "s" iwe kubwa
 
Kuweni na subra , server nyingi za serikali huwa zinazidiwa.

Ila kama una PC na Simu nakushauri utumie simu ni rahisi zaidi kuaccess kuliko PC, ingawa wengi wenu mnaona PC ni rahisi zaidi.

Na ukitaka uingie kirahisi oteas tumia google search usitumie browsers za kawaida kwa kipindi hili cha mwanzo ambacho servers zinakuwa bize.
 
Kuweni na subra , server nyingi za serikali huwa zinazidiwa.

Ila kama una PC na Simu nakushauri utumie simu na rahisi zaidi kuaccess kuliko PC, ingawa wengi wenu mnaona PC ni rahisi zaidi.

Na ukitaka uingie kirahisi oteas tumia google search usitumie browsers za kawaida kwa kipindi hili cha mwanzo ambacho servers zinakuwa bize.
umesomeka sana kiongozi...feedback kama hizi ndizo tunazozihitaji
 
Shida nyingine hiyo apo ukishaandika tu NTA level apo kwenye kuselect mwaka wa kumaliza inagoma kuclick
Screenshot_20220422-170830.jpg
 
Alafu kuna IT wa tamisem wanalipwa hela tena kodi zetu..

Nchi ya kipumbavu sana kuna wajinga tumewapa dhamana wanatuzamisha baharini bila hata huruma
Sasa ndugu zangu walimu na manesi hapa kosa la mtu wa IT ni lipi jamani?

Mbona mnapenda kutoa lawama sana.Haya unataka mtu wa IT afanye nini cha ziada hapa?

Nakupa elimu ya bure ili siku nyingine kabla ya kuponda IT wa bongo ujue nini kiko nyuma ya pazia.

Ni kwamba unapoingia kwenye browser yako na kutype address yako kwa ajili ya page hiyo ya maombi.Browser yako ndio inakuwa mteja na mhudumu wake ni hizo servers ambazo zina hiyo page.Ombi lako linapochelewa kushughulikiwa ni kwamba unakuwa umewekwa foleni kwa sababu server inakuwa imepokea maombi mengi na kila ombi linalotumwa linakuwa na mda wake wa kusubiri kabla ya kujibiwa.Mda wa kusubiri unaokuwa umepewa ukiisha bila kuhudiwa wewe unakuwa umetolewa kwenye foleni.

Sasa kama kwa kifupi sana jambo liko hivi kosa la IT wa bongo ni lipi sasa hapa?
 
Kwa hiyo ni kosa la nani
Vipi kuhusu mitandao kama Google', facebook, jamiiforums nk yenye watumiaji wengi kuliko hiyo ya tamisemi?
 
Sasa ndugu zangu walimu na manesi hapa kosa la mtu wa IT ni lipi jamani?

Mbona mnapenda kutoa lawama sana.Haya unataka mtu wa IT afanye nini cha ziada hapa?

Nakupa elimu ya bure ili siku nyingine kabla ya kuponda IT wa bongo ujue nini kiko nyuma ya pazia.

Ni kwamba unapoingia kwenye browser yako na kutype address yako kwa ajili ya page hiyo ya maombi.Browser yako ndio inakuwa mteja na mhudumu wake ni hizo servers ambazo zina hiyo page.Ombi lako linapochelewa kushughulikiwa ni kwamba unakuwa umewekwa foleni kwa sababu server inakuwa imepokea maombi mengi na kila ombi linalotumwa linakuwa na mda wake wa kusubiri kabla ya kujibiwa.Mda wa kusubiri unaokuwa umepewa ukiisha bila kuhudiwa wewe unakuwa umetolewa kwenye foleni.

Sasa kama kwa kifupi sana jambo liko hivi kosa la IT wa bongo ni lipi sasa hapa?
Kama hujui kitu bora ukae kimya tu.
 
Back
Top Bottom