Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Kuna dogo yupo mkoa tofauti na Mm ameniomba tangu juzi nmsaidie kuomba ajira za Ualimu,
lkn Mpaka sasa bado hajanitumia documents zake, sasa mwisho wa siku anaweza kuchelewa kunitumia then haya mambo ya mtandao yakanifanya nishindwe kutuma maombi akaniona nimemfanyia roho mbaya.
 
chanagamoto niliyoipata kutumia simu,kuna kile kisanduku cha juu kulia cha 'jisajili' hakionekani
Kama unatumia chrome, kuna vile vinukta vitatu ukibofya hapo nenda kaweke tick kwenye desktop site, chrome yako itafunguka na kuwa na muonekano wa computer.
 
Back
Top Bottom