Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

hii changamoto naitatuaje wadau?

Screenshot (58).png
 
KWA mbali matumaini yameanza kujionyesha baada ya kungoja kwa zaidi ya lisaa
CaptureGJ.JPG
 
Kazi kweli kweli. Ngoja nilale tu. Mana nimevuta subira wapi, kazi tunayo system ina load bila ya kuonesha dalili za ku login hatari. Unakodoa macho hadi unajikuta unakosa nguvu sasa😎😎
muda huu imeniandikia unauthorized kwa akaunti ambayo mchana nilikuwa naweza kuingia....hii system yakiboya sana
 
saa 8;47 za usiku yani hapo ndio usiku wa manane wenyewe huu sasa baada ya uvumilivu kidogo kumejitokeza mwanaga
kj.JPG
 
Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA. mida ya jioni ya leo 22/4/2022 saa 11:45 jioni nilifanikiwa kuona kipengele cha kuattach file kwenye eneo la shule kimefunguliwa ambapo kuanzia jana nilikuwa siwezi kuattach vyeti.
View attachment 2195644

tuendelee kupeana update hadi kieleweke hakuna kulalaView attachment 2195669
maswali ya nida ni ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom