Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
[emoji3] Nina usingz htrkuna muda ikatudanganya kama inafunguka...wapi yani awa watu wanatufanya tuwe walinzi bila kupenda kwakweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] Nina usingz htrkuna muda ikatudanganya kama inafunguka...wapi yani awa watu wanatufanya tuwe walinzi bila kupenda kwakweli...
yani...tusio kuwa na connection tunapata tabu sana kwakweliAlafu kuna IT wa tamisem wanalipwa hela tena kodi zetu..
Nchi ya kipumbavu sana kuna wajinga tumewapa dhamana wanatuzamisha baharini bila hata huruma
pole sana ndio ukubwa huo ndugu yangu...siku ukizinyaka upate cha kuwahadithia wajukuu[emoji3] Nina usingz htr
Mkuu vipi umefanikiwa kwa chochote hadi sasa kwenye huo mfumo?Mfumo mbovu sana.
unatakiwa kufungua akaunti mpya utabonyeza JISAJILI kama picha inavyoonyesha hapo chiniMaswali ni mengi,majibu ya watu hata wa stationery hayatoshelezi,hivi kwa wale walioomba kipindi cha nyuma,wanatumia zilezile akaunti za zamani au wanafungua akaunti mpya?
Endapo ikiwa ni akaunti za zamani zinatumika,ni mabadiliko gani yanafanyika katika viambatanisho vilivyomo?
Mtandao ulikubali Kama dakika hvi afu ukasepaunatakiwa kufungua akaunti mpya utabonyeza JISAJILI kama picha inavyoonyesha hapo chiniView attachment 2196224
baada ya hapo utaingiza email yako kisha hakikisha pasword unayoweka inamchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo alama za uandishi pamoja na namba.... mfano 123@MHAndo utaweka na namba yako ya simuView attachment 2196225
kisha itafuata sehemu ya kuthibitisha taarifa zako za NIDA hapo utaingiza namba yako ya nida yatafuata maswali...ili wawe na uhakika kama wewe ndio mwenye namba hiyo ya nida...ukivuka hapo utakuwa teyari umeshafungua akaunti....
baada ya kufanikiwa kufungua akaunti ukitaka kulog in utaingiza namba yako ya nida bila vile vialama vya toa... mfano 200021214120000824
dakika hizi ama...?Mtandao ulikubali Kama dakika hvi afu ukasepa
unatakiwa kufungua akaunti mpya utabonyeza JISAJILI kama picha inavyoonyesha hapo chiniView attachment 2196224
baada ya hapo utaingiza email yako kisha hakikisha pasword unayoweka inamchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo alama za uandishi pamoja na namba.... mfano 123@MHAndo utaweka na namba yako ya simuView attachment 2196225
kisha itafuata sehemu ya kuthibitisha taarifa zako za NIDA hapo utaingiza namba yako ya nida yatafuata maswali...ili wawe na uhakika kama wewe ndio mwenye namba hiyo ya nida...ukivuka hapo utakuwa teyari umeshafungua akaunti..
Asante sana ndugu yangu,kwasasa mtandao unasumbua,naomba nikisumbue tena,Je nikibonyeza jisajili,nitakutana na taarifa zangu zilezile za zamani au ntaanza upya mambo ya kuattch sijui vyeti na viambatanisho vingine,na je kuna mabadiliko yoyote ya kuongeza au kupunguza endapo kama nikiingia kwenye mfumo nikazikuta taarifa zilezile za awali?unatakiwa kufungua akaunti mpya utabonyeza JISAJILI kama picha inavyoonyesha hapo chiniView attachment 2196224
baada ya hapo utaingiza email yako kisha hakikisha pasword unayoweka inamchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo alama za uandishi pamoja na namba.... mfano 123@MHAndo utaweka na namba yako ya simuView attachment 2196225
kisha itafuata sehemu ya kuthibitisha taarifa zako za NIDA hapo utaingiza namba yako ya nida yatafuata maswali...ili wawe na uhakika kama wewe ndio mwenye namba hiyo ya nida...ukivuka hapo utakuwa teyari umeshafungua akaunti....
baada ya kufanikiwa kufungua akaunti ukitaka kulog in utaingiza namba yako ya nida bila vile vialama vya toa... mfano 200021214120000824
Unaanza upyaaaaaaaaaaaAsante sana ndugu yangu,kwasasa mtandao unasumbua,naomba nikisumbue tena,Je nikibonyeza jisajili,nitakutana na taarifa zangu zilezile za zamani au ntaanza upya mambo ya kuattch sijui vyeti na viambatanisho vingine,na je kuna mabadiliko yoyote ya kuongeza au kupunguza endapo kama nikiingia kwenye mfumo nikazikuta taarifa zilezile za awali?
Hizi izi yaan dakika mbili tu ukasepa[emoji3]dakika hizi ama...?
Ukiingiza hiyo username na password unaambiwa unauthorised userunatakiwa kufungua akaunti mpya utabonyeza JISAJILI kama picha inavyoonyesha hapo chiniView attachment 2196224
baada ya hapo utaingiza email yako kisha hakikisha pasword unayoweka inamchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo alama za uandishi pamoja na namba.... mfano 123@MHAndo utaweka na namba yako ya simuView attachment 2196225
kisha itafuata sehemu ya kuthibitisha taarifa zako za NIDA hapo utaingiza namba yako ya nida yatafuata maswali...ili wawe na uhakika kama wewe ndio mwenye namba hiyo ya nida...ukivuka hapo utakuwa teyari umeshafungua akaunti....
baada ya kufanikiwa kufungua akaunti ukitaka kulog in utaingiza namba yako ya nida bila vile vialama vya toa... mfano 200021214120000824
hapana unaanza upya taarifa za zamani huto zikuta...Asante sana ndugu yangu,kwasasa mtandao unasumbua,naomba nikisumbue tena,Je nikibonyeza jisajili,nitakutana na taarifa zangu zilezile za zamani au ntaanza upya mambo ya kuattch sijui vyeti na viambatanisho vingine,na je kuna mabadiliko yoyote ya kuongeza au kupunguza endapo kama nikiingia kwenye mfumo nikazikuta taarifa zilezile za awali?
umeshajisajili...? unatakiwa ujisajili kwanza...Ukiingiza hiyo username na password unaambiwa unauthorised user
Asante.hapana unaanza upya taarifa za zamani huto zikuta...
tuna hangaika kweli...ila ipo siku tu...!Hizi izi yaan dakika mbili tu ukasepa[emoji3]