Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Halafu vp mwenzangu kwenye kujaza index number. Umeweka cha form four au form sixNimefanikiwa kutuma maombi muda huu teaching subjects zangu ni Geography na Economics , ila kilichoniuma ni baada ya kutoiona economics kule ndani , nimesikitika kuona hilo somo halina uhitaji. Maana nilitegemea lingenisaidia kwenye kupunguza ushindani .
Imeniuma sana hasa kila nikikaa vile nilivyokuwa nateseka nalo huku nikipigwa mikuki mikali ya Dr oswald mashindano , Dr osolo , madam mkenda , Dr joel bila kumsahau mdadila kumbe somo lenyewe hata siyo marketable kwenye uwanja wa ajiraaa .
Jaribu Mala nyingi uwezavyo. Hata mm ilikuwa hivyo ikakubaliKuna Mtu wa kada ya afya amefanikiwa kipengele cha elimu ya chuo ? Kama yupo msaada maana kwenye Mwaka na cheti akufunguki
Namba iko
Nisaidieni hii barua ya kujitolea inakuwa uploaded sehem gani pia CV safari hii haitakiwi auNdugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA. mida ya jioni ya leo 22/4/2022 saa 11:45 jioni nilifanikiwa kuona kipengele cha kuattach file kwenye eneo la shule kimefunguliwa ambapo kuanzia jana nilikuwa siwezi kuattach vyeti.
View attachment 2195644
tuendelee kupeana update hadi kieleweke hakuna kulalaView attachment 2195669
Hawataki mabarua ya kujitolea awamu hii, wameona haina haja maana mabarua yenyewe mnafojiNisaidieni hii barua ya kujitolea inakuwa uploaded sehem gani pia CV safari hii haitakiwi au
Yani barua ya mkataba wa kazi ya afya ya mkapa foundation ndo najiuliza niiwwke wap mkjuHawataki mabarua ya kujitolea awamu hii, wameona haina haja maana mabarua yenyewe mnafoji
Hawayatakiii kuwa mwelewaYani barua ya mkataba wa kazi ya afya ya mkapa foundation ndo najiuliza niiwwke wap mkju
Hata mimi nakwama hapo.Kuna Mtu wa kada ya afya amefanikiwa kipengele cha elimu ya chuo ? Kama yupo msaada maana kwenye Mwaka na cheti akufunguki
hakuna sehemu wamesema uweke barua ya kujitoleaNisaidieni hii barua ya kujitolea inakuwa uploaded sehem gani pia CV safari hii haitakiwi au
sytem inaverify yenyewe kama sio chako haikubariNisaidieni wakuu.Vyeti ni muhimu kuverify kwa mwanasheria au hakuna haja?
Iyo shida ipo kwa watu wengi, tujaribi kuongea na tamisemi huwenda wakatatua shida hiiMtu amemaliza St. Augustine University lkn pale kwenye course hakuna bachelor kuna certification na diploma tuu
Msaada wenu tafadhali
kwenye tangazo walisema attachment ziwe zinasomeka vizuri....hata kama ni copy hakikisha inasomekaWUNGWANA NAOMBA KUULIZA VIPI CHETI CHA KUZALIWA WANACHOTAKA KIWE UPLOADED PALE MWANZONI TUNAWEKA pdf YA CHETI ORIGINAL AU COPY?... NA VIPI NA CHENYEWE KINATAKIWA KUWA CERTIFIED?
andika cozi yako uliyosomaJamani msaada kwenye kipengere cha course sijui naweka nini kwasabubu nimeweka diploma in secondary Education haifanyi respond yoyote
Nakuona Bajabir unarusha makombora kila kona[emoji3]Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko field
Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.
Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naomba msaada, naona error 8002Jamani msaada kwenye kipengere cha course sijui naweka nini kwasabubu nimeweka diploma in secondary Education haifanyi respond yoyote