Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

we jamaa itakuwa tulisoma pamoja
 
Job seekers tupo wengi mno.

Nakumbuka wakati naomba mkopo niliombea kwenye Nokia Xpress Music.

Nilitegea saa tisa usiku ndiyo nikafanya kazi husika.

Tangu pale mi naamini hizi systems za serikali we ziamkie usiku mnene.
 
Ukimaliza kufungua account. Sehemu ya kujaza personal details kama mkoa unaoishi, elimu yako. Kwenye simu yangu ukibofya mfumo hauketi options shida ni nini?

Natumia browser ya mozilla firefox.
 
Mnaoona masomo yenu hakuna ,harafu mnachagua masomo yeyote eti kisa unajua kuyafundisha mnajitengenezea matatizo huko mbele ,kwanini usisubili SoMo lako waliweke ?...

Huko mbele mtakuja kukaguliwa na Kuna watu watawakataa kuwa sio walimu ,au watawakataa kuwa masomo uliyosomea chuo na uliyoomba ni tofauti ....Sasa wewe kurupuka huku kwenye system ukifikili tayari ushamaliza ....

Kuna vijana kibao wamefika kwa mkurugenz na kukataliwa baada ya kuaangalia maombi yao na taaaluma zao ,walidanganya mfumo .....
 
Watalia na kusaga meno
 
Ukiweka somo tofauti na ulilosomea system inakured chap
 
Unasemaa....!

Kwamba system inakataa nyaraka feki? ebu niweke wazi hapa
ukifoji system inatambua...ndio maana taarifa za nida zikipishana kidogo tu na cheti inakua haikutambui...hivyo ukifoji kwenye system hii mtu anajisumbua tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…