Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

nani alofanikiwa kuchagua mikoa ya kufanyia kazi

ajira.jpg
 
Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.

Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana vipi kuhusu CV umeiwekaje??
 
Mi naishia apo toka mchana au kuna sehemu nakosea wakuuView attachment 2198001
unatakiwa ujaze jina la chuo linaloonekana kwenye system yaani ukiandika neno(herufi) za mwanzo wa jina la chuo, system yenyewe inamalizia jina lote la chuo likiwa na namba ya usajili wa chuo. Kwa hiyo unachagua jina hilo lililoonekana kwenye system, baada ya hapo sehemu ya kujaza kozi zitaoneka kozi mbalimbali lakini unatakiwa kuchagua kozi moja uliyosomea. Kama ulisomea bachelor type sehemu ya kuchagua kozi bachelor, system yenyewe italeta kozi za bachelor, kama ni diploma andika dip system yenyewe italeta kozi za diploma utachagua uliyosoma.

NB: Usiandike jina la chuo manually hakikisha unachagua linaloonekana kwenye system. Pia Usiandike manually jina la kozi uliyosomea. Usipofanya hivyo hutaweza kuendelea mbele zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAMISEMI imepewa majukumu makubwa sana, mambo ya AFYA yangeondolewa huko yabaki wizara ya afya.
Tatizo nchi yetu haina mipango na mifumo imara ya muda mrefu, kila kukicha mambo yanabadilishwa kulingana na utashi wa mtu mmoja.
 
KOZI GANI? JARIBU NECTA MKUU mimi nimeomba nacte imegoma tcu imegoma nimetumia necta imekubali
Yaani taarifa za chuo zitoke NECTA? hapo hapana.

Huwezi ukawa umesoma chuo kikuu halafu urudi kutafuta taarifa zako za chuo NECTA.
 
unatakiwa ujaze jina la chuo linaloonekana kwenye system yaani ukiandika neno(herufi) za mwanzo wa jina la chuo, system yenyewe inamalizia jina lote la chuo likiwa na namba ya usajili wa chuo. Kwa hiyo unachagua jina hilo lililoonekana kwenye system, baada ya hapo sehemu ya kujaza kozi zitaoneka kozi mbalimbali lakini unatakiwa kuchagua kozi moja uliyosomea. Kama ulisomea bachelor type sehemu ya kuchagua kozi bachelor, system yenyewe italeta kozi za bachelor, kama ni diploma andika dip system yenyewe italeta kozi za diploma utachagua uliyosoma.

NB: Usiandike jina la chuo manually hakikisha unachagua linaloonekana kwenye system. Pia Usiandike manually jina la kozi uliyosomea. Usipofanya hivyo hutaweza kuendelea mbele zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuuu
Nimefanya kama ulivyoniongoza lkin bado course haziji...
 
Back
Top Bottom