DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
ndio mkuuIkakutumia kitick cha Kijani au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mkuuIkakutumia kitick cha Kijani au
Elimu mkuuafya au elimu
hongeraElimu mkuu
Ahsante sana mkuu! Komaa komaa utamaliza, nakuombea upate nafasi.hongera
S0000-0001Kijiji cha kwenye Cheti cha Kuzaliwa na cha NIDA viko tofauti, ila nishavuka hiki kipengele cha taarifa za NIDA baada ya kujibu maswali mengine kwa usahihi.
Sasa namba ya mtihani(form 4 na 6) zinaandikwa kwa style ipi? S0000.0001 au S0000/0001 ?
Anza kwanza kujaza FORM 4 Then ukishasave Jaza tena FORM 6Jamani naomba ujuzi kile kipengele cha Pili. Secondary pale tunajaza four or six.? Pia Mimi mwaka wa kumaliza Haufunguki? Naomba muongozo
View attachment 2197932
Cv je inakuwaje ??!!ndio unaattach barua ya maombi
Hongera sana vipi kuhusu CV umeiwekaje??Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.
Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana.Hongera sana vipi kuhusu CV umeiwekaje??
Nimejaribu mara nyingi sana toka jana mpaka sasa lakn bado cjafanikiwaJaribu Mara nyingi uwezavyo. Hata mm ilikuwa hivyo ikakubali
Nimejaribu mara nyingi sana toka jana mpaka sasa lakn bado cjafanikiwaJaribu Mara nyingi uwezavyo. Hata mm ilikuwa hivyo ikakubali
unatakiwa ujaze jina la chuo linaloonekana kwenye system yaani ukiandika neno(herufi) za mwanzo wa jina la chuo, system yenyewe inamalizia jina lote la chuo likiwa na namba ya usajili wa chuo. Kwa hiyo unachagua jina hilo lililoonekana kwenye system, baada ya hapo sehemu ya kujaza kozi zitaoneka kozi mbalimbali lakini unatakiwa kuchagua kozi moja uliyosomea. Kama ulisomea bachelor type sehemu ya kuchagua kozi bachelor, system yenyewe italeta kozi za bachelor, kama ni diploma andika dip system yenyewe italeta kozi za diploma utachagua uliyosoma.Mi naishia apo toka mchana au kuna sehemu nakosea wakuuView attachment 2198001
Unakwama wapi?Nimejaribu mara nyingi sana toka jana mpaka sasa lakn bado cjafanikiwa
Tatizo nchi yetu haina mipango na mifumo imara ya muda mrefu, kila kukicha mambo yanabadilishwa kulingana na utashi wa mtu mmoja.TAMISEMI imepewa majukumu makubwa sana, mambo ya AFYA yangeondolewa huko yabaki wizara ya afya.
Yaani taarifa za chuo zitoke NECTA? hapo hapana.KOZI GANI? JARIBU NECTA MKUU mimi nimeomba nacte imegoma tcu imegoma nimetumia necta imekubali
Ahsante mkuu, nimepewa muongozo punde nilipouliza
Shukran mkuuuunatakiwa ujaze jina la chuo linaloonekana kwenye system yaani ukiandika neno(herufi) za mwanzo wa jina la chuo, system yenyewe inamalizia jina lote la chuo likiwa na namba ya usajili wa chuo. Kwa hiyo unachagua jina hilo lililoonekana kwenye system, baada ya hapo sehemu ya kujaza kozi zitaoneka kozi mbalimbali lakini unatakiwa kuchagua kozi moja uliyosomea. Kama ulisomea bachelor type sehemu ya kuchagua kozi bachelor, system yenyewe italeta kozi za bachelor, kama ni diploma andika dip system yenyewe italeta kozi za diploma utachagua uliyosoma.
NB: Usiandike jina la chuo manually hakikisha unachagua linaloonekana kwenye system. Pia Usiandike manually jina la kozi uliyosomea. Usipofanya hivyo hutaweza kuendelea mbele zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu chuo je?Ukiandika tu index namba na mwaka uliomaliza system inakuletea information zote mpaka jina la shule ulomaliza