niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Nimepata shida kama yako, bado sijaitatua.Mimi mwenyewe nimekwamia kwenye course select ukiandika course haidisplay ujaze year of completed shida ni nini wakuu
Jamni kwa waalimu wa primary
Apo kwenye course mnajaza nni?View attachment 2199287
Ndanindani [emoji39]Za mikoa ipi iyo mkuu
Apo kipengeleMsaada jamani. Mimi niwa shule ya msingi. Pale kwenye Ku select education level Zipo bachelor mbali mbali na certificate in primary education nimeziona nikachangua. Shida imekuja kwenye Ku select kozi. Inakuja moja tu diploma in education, na Mimi nimesoma ualimu grade A. Msaada jamani kwa aliyepita hapo.
DahMkuu hii changamoto kama uliitatua naomba unisaidie. Nimekwama hapo.
Balaaa na nusungumu kumeza
Wameongezeka namm haloo. Nilikuwa peke anguhakuna haja hata ya ku-edit, asubiri ifike deadline ndo aseme yuko pekee yake mana unaweza kukuta hy siku mpo kama 100+ mana kila muda watu wanaongezeka
Kuna shule wakat nna-apply walikuwa 88 lkn leo leo niloporudi tena nikakuta wamefika 98
Kwanza jamaa hata simuamini kama yuko pekee yake, lbl aweke screenshot ndo nitaamini
Inaonyesha kwel ulikuwa pekee yako, masomo ya sayansi n kawaida kuwa wachache tofauti na hizi za arts, na hapo bado deadline inatakiwa siku ya deadline uangalie tena utakuta WameongezekaWameongezeka namm haloo. Nilikuwa peke angu View attachment 2200959
unachotakiwa kufanya ni kuiandika hiyo couse bila kuikosea...baada ya kuiandika rudi kafute sehemu ya chuo...kisha kichague tena...baada ya hapo kafute herufi za mwisho za course...hope itatokea sehemu ya kuichagua hiyo courseDah
Nimeshindwa ndughu
Sema nngepata chuo chenye course ya "certificate in primary* nngechakachhua
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sio roho mbaya mkuu lazima ujifunze kulinda siri zako binafsiInaonyesha kwel ulikuwa pekee yako, masomo ya sayansi n kawaida kuwa wachache tofauti na hizi za arts, na hapo bado deadline inatakiwa siku ya deadline uangalie tena utakuta Wameongezeka
ila naona umeficha ili watu wasijue hizo shule [emoji23][emoji23] kama Mungu amekupa nafasi itabaki kuwa yako tuu wala haina haja ya kuwa na roho mbaya kwa wenzako
Nimkutana na case hii pia, kuna mtu namsaidia kwenye details za form 6 ikaleta hii kitu. Nimemuuliza kama walishawahi kufungiwa matokeo anakataa,na anasema wenzake tayari wamejaza bila shida. Sasa sijui shida niniMsaada nikingiza namba ya form six inaniandikia hivyo shida ni nini na sijakosea kituView attachment 2200914
Naomba uweke yafuatayo kwenye kichwa chako.Walimu wa sayansi hii zamu yenu mtapata wengi sana, ila nyie ndugu zetu wa art mmmh poleni tu.
Bahati njema kwa kila mmoja
si kwamba itakuwa kuna alama wameziseti za ufaulu wa juu...nadhani ndio mchujo unaanzia hapo...ila ajaribu kuwasiliana nao namba zao ni 0735160210....unatumia dakika za kawaida kuipiga namba hiyo...Nimkutana na case hii pia, kuna mtu namsaidia kwenye details za form 6 ikaleta hii kitu. Nimemuuliza kama walishawahi kufungiwa matokeo anakataa,na anasema wenzake tayari wamejaza bila shida. Sasa sijui shida nini
funga hiyo browser uanze upya...kulog inHabar wakuu...nmefika kwenye viambatansho vya chuo. Nimeattach lakin kila nikisave naambiwa "Unauthorized User".....nusu saa sasa.....nafanyaje?