Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Msaada jamani. Mimi niwa shule ya msingi. Pale kwenye Ku select education level Zipo bachelor mbali mbali na certificate in primary education nimeziona nikachangua. Shida imekuja kwenye Ku select kozi. Inakuja moja tu diploma in education, na Mimi nimesoma ualimu grade A. Msaada jamani kwa aliyepita hapo.
 
Apo kipengele
Mwenyewe naishia apo2
Course haziji
 
hakuna haja hata ya ku-edit, asubiri ifike deadline ndo aseme yuko pekee yake mana unaweza kukuta hy siku mpo kama 100+ mana kila muda watu wanaongezeka
Kuna shule wakat nna-apply walikuwa 88 lkn leo leo niloporudi tena nikakuta wamefika 98
Kwanza jamaa hata simuamini kama yuko pekee yake, lbl aweke screenshot ndo nitaamini
Wameongezeka namm haloo. Nilikuwa peke angu
Screenshot_20220426-092503_1.jpg
 
Wameongezeka namm haloo. Nilikuwa peke angu View attachment 2200959
Inaonyesha kwel ulikuwa pekee yako, masomo ya sayansi n kawaida kuwa wachache tofauti na hizi za arts, na hapo bado deadline inatakiwa siku ya deadline uangalie tena utakuta Wameongezeka
ila naona umeficha ili watu wasijue hizo shule 😂😂 kama Mungu amekupa nafasi itabaki kuwa yako tuu wala haina haja ya kuwa na roho mbaya kwa wenzako
 
Walimu wa sayansi hii zamu yenu mtapata wengi sana, ila nyie ndugu zetu wa art mmmh poleni tu.

Bahati njema kwa kila mmoja
 
Dah
Nimeshindwa ndughu
Sema nngepata chuo chenye course ya "certificate in primary* nngechakachhua
unachotakiwa kufanya ni kuiandika hiyo couse bila kuikosea...baada ya kuiandika rudi kafute sehemu ya chuo...kisha kichague tena...baada ya hapo kafute herufi za mwisho za course...hope itatokea sehemu ya kuichagua hiyo course
 
Nikifika kwenye upande wa chuo, kwa University Of Arusha jamani inagoma hasa kwa kozi ya Post Graduate Diploma in Education, nini kifanyike?
 
Inaonyesha kwel ulikuwa pekee yako, masomo ya sayansi n kawaida kuwa wachache tofauti na hizi za arts, na hapo bado deadline inatakiwa siku ya deadline uangalie tena utakuta Wameongezeka
ila naona umeficha ili watu wasijue hizo shule [emoji23][emoji23] kama Mungu amekupa nafasi itabaki kuwa yako tuu wala haina haja ya kuwa na roho mbaya kwa wenzako
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sio roho mbaya mkuu lazima ujifunze kulinda siri zako binafsi
 
Walimu wa sayansi hii zamu yenu mtapata wengi sana, ila nyie ndugu zetu wa art mmmh poleni tu.

Bahati njema kwa kila mmoja
Naomba uweke yafuatayo kwenye kichwa chako.
1.ajira za ualimu zipo 9700 tu
2.applicants hawatapungua laki moja
3.shule ya msingi tufanye applicants wapo 60000
4.shule za sekondari nao 60000.
5.walimu wa shule za msingi wakichaguliwa 6000 maana ake 54000 wanapigwa na mawimbi nje.
6.walimu wa sekondari kadharika wakichaguliwa 3700 tufanye sayansi 2700 halafu arts 1000 maana ake 56300 watadondokea pua.
7.ijulikane kuwa diploma ndohuwa wanachaguliwa kwa wingi kuliko degree, Sasa hapa nazungumzia sekondari education, katika hizo nafasi 3700 diploma almost watakuwa 3000 na degree ni 700 tu.
Ukisoma hayo maelezo juu ndoutakuja kugundua hapa tunabet tena kamali ngumu zaidi ya pawaport jackpot.
 
Nimkutana na case hii pia, kuna mtu namsaidia kwenye details za form 6 ikaleta hii kitu. Nimemuuliza kama walishawahi kufungiwa matokeo anakataa,na anasema wenzake tayari wamejaza bila shida. Sasa sijui shida nini
si kwamba itakuwa kuna alama wameziseti za ufaulu wa juu...nadhani ndio mchujo unaanzia hapo...ila ajaribu kuwasiliana nao namba zao ni 0735160210....unatumia dakika za kawaida kuipiga namba hiyo...
 
Habar wakuu...nmefika kwenye viambatansho vya chuo. Nimeattach lakin kila nikisave naambiwa "Unauthorized User".....nusu saa sasa.....nafanyaje?
funga hiyo browser uanze upya...kulog in
 
Back
Top Bottom