Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

yana badilisha ila sina uhaika kama kwa kutumia simu unaweza...il kwenye computer unaona jinsi ya kuondoa...chochote
 
Wakuu ninafanya maombi kwa Upande wa Afya na nimefikia hapa



Lakini nikicheki Machaguo yangu ya Kituo cha kazi hayaonekani



Nimebonyeza kwenye hiyo button ya β€œongeza machaguo”nikajaribu kuchagua Kama inavyooneka hapa chini Kama Chaguo langu la pili.



Sasa kimbembe kwenye KUHIFADHI inagoma kabisa yaani inabaunsi tuu na ukicheki mtandao upo fresh tuu wakuu



Wakuu nauliza inakuaje hii?
Afya tunafanya machaguo mangapi mwisho?
Walimu nimeona wamechagua sehemu nyingi kidogo!

Msaada tutani!
 
Unapakubali butiama? Huko utapata tu tena asilimia mia
 
kwamba hakuna uhitaji wa walimu wa physics na hesabu?
Kwani ajabu ni nini. Walimu wa physics na math wapo wengi kuliko arts baada yakuona science ndokila kitu wote wakahamia huko. Ila hayo masomo yapo nanimeapply
 
Mkuu na me nimekwama hapa hapa ase chaguo linakuja moja tu alafu ukisev halionekan na ukitaka ku-add sehem nyingine mfumo una-baunse tu
 
Mimi Afya upande wa taarifa za chuo kuweka kozi inagoma, machaguo ya muombaji pia inagoma kabisa.
 
Habari wadau mimi napata changamoto kwenye ku upload cheti cha diploma inagoma na kwenye section ya year of graduate ! Kuna mtu pia amekutana na changamoto hii ?
Natuma maombi AFYA
 
Jana nilienda wakati nasubiri foleni ya Internet kunammoja jamaa shababi hivi alimsogezea secretary barua nyingine tofauti na ile yakuombakazi afu akamsogelea Secretary akamnon'goneza jambo. JAMANI KAMA KUNAKITU KINGINE ULIMWENGU MWINGINE TUAMBIANE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…