Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Simu ipo fresh sana tu mi nimetumia simu na nlifanikiwa mapema sana kukamilisha maombi na sasa naedit tu pale ninapojiskia kufanya hivyo hadi siku ya deadline
 
Nishamaliza kujaza taarifa zote 100%.Sioni sehemu ya ku-submit maombi yangu.NISAIDIENI
ukisha kamilisha inajituma yenyewe...utaona imeandikwa maombi yako yamekamilika na kutumwa...kama kiambatanishi hapo chini kinavyoonyesha
 
Wakuu kuna hii ishu ya iutoonekana machaguo, je ndio yapo kweli au ni fix tu maana nikiweka tu barua kitu kinajituma moja kwa moja. Naomba kufahamu hili kabla sijamalizia kuweka barua
 
Wakuu kuna hii ishu ya iutoonekana machaguo, je ndio yapo kweli au ni fix tu maana nikiweka tu barua kitu kinajituma moja kwa moja. Naomba kufahamu hili kabla sijamalizia kuweka baruaView attachment 2202020
Na mimi nina changamoto hapa alafu mimi kwangu inagoma kuongeza machaguo hasa ninapofika kusave haifanyi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…