Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Simu ipo fresh sana tu mi nimetumia simu na nlifanikiwa mapema sana kukamilisha maombi na sasa naedit tu pale ninapojiskia kufanya hivyo hadi siku ya deadline
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio brother na chuo cha serekali ndo nimemalizaulifaulu vizuri kweli...?????
Bro samahani,idadi ya shoule kujaza ni ngapi?naona kama inakuja Moja?Simu ipo fresh sana tu mi nimetumia simu na nlifanikiwa mapema sana kukamilisha maombi na sasa naedit tu pale ninapojiskia kufanya hivyo hadi siku ya deadline
Ombea wote tuliomo humu sio peke ake, afu pia huyu jamaa ndomwenye huu uzi alianzisha tu kimasihara.We jamaa umejitahidi Sana kutoa msaada hapa kila SAA upo online nakuombea kwa mungu upate ajira[emoji122]
Mimi sehemu ya ku edit machaguo haipo kabisaaa kila nikitaka kubadili siioni nashindwa[emoji25][emoji25][emoji25]Ombea wote tuliomo humu sio peke ake, afu pia huyu jamaa ndomwenye huu uzi alianzisha tu kimasihara.
Nyie wa 2021 kalale kwanzaOmbea wote tuliomo humu sio peke ake, afu pia huyu jamaa ndomwenye huu uzi alianzisha tu kimasihara.
nashukuru sana....ujue siku lala kabisa tokea siku ya kwanza hadi leo nahangaikia wenzangu japo na wao waweze kutuma maombi...We jamaa umejitahidi Sana kutoa msaada hapa kila SAA upo online nakuombea kwa mungu upate ajira[emoji122]
ukisha kamilisha inajituma yenyewe...utaona imeandikwa maombi yako yamekamilika na kutumwa...kama kiambatanishi hapo chini kinavyoonyeshaNishamaliza kujaza taarifa zote 100%.Sioni sehemu ya ku-submit maombi yangu.NISAIDIENI
Nimejaza shule 5 mwisho.Bro samahani,idadi ya shoule kujaza ni ngapi?naona kama inakuja Moja?
funga hiyo browser uanze kulog in tena....Kwenye maombi ya afya sehemu ya machaguo uki-save hayaonekani nifanyeje wadau View attachment 2202006
Na mimi nina changamoto hapa alafu mimi kwangu inagoma kuongeza machaguo hasa ninapofika kusave haifanyi chochoteWakuu kuna hii ishu ya iutoonekana machaguo, je ndio yapo kweli au ni fix tu maana nikiweka tu barua kitu kinajituma moja kwa moja. Naomba kufahamu hili kabla sijamalizia kuweka baruaView attachment 2202020
OK vipi na hii ishu ya kugoma kusave selection zaidi maana nimeweka moja tu nyingine zinagomea kwenye kusavefunga hiyo browser uanze kulog in tena....
umeomba ualimu ama...?OK vipi na hii ishu ya kugoma kusave selection zaidi maana nimeweka moja tu nyingine zinagomea kwenye kusave
kuna sehemu ya kuweka barua itakuwa huajaweka barua maana kila chaguo unaweka na barua yake ya maombi...Na mimi nina changamoto hapa alafu mimi kwangu inagoma kuongeza machaguo hasa ninapofika kusave haifanyi chochote
Afyaumeomba ualimu ama...?
Aisee kwa hyo barua hiyo hiyo ya maombi ndo naweka kwa kila chaguao?kuna sehemu ya kuweka barua itakuwa huajaweka barua maana kila chaguo unaweka na barua yake ya maombi...