Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Jamani msaada sisi wa primary education pale kwenye course inakuaje2?
Panabakia ivhoivho au panajazwa?
 
Mfumo naona bado unafunguka vizur muda huu. Kwa ambao hamjakamilisha tumieni fursa hii.View attachment 2198143

Sent using Jamii Forums mobile app
Barua umeandika kwa ku-typing au mkono.?
KOZI GANI? JARIBU NECTA MKUU mimi nimeomba nacte imegoma tcu imegoma nimetumia necta imekubali
😂😂 Chuo gn hicho umeweka necta ikakubali
Yaani taarifa za chuo zitoke NECTA? hapo hapana.

Huwezi ukawa umesoma chuo kikuu halafu urudi kutafuta taarifa zako za chuo NECTA.
😂😂 Labla Zoom college ndo ukiweka necta inakubali
 
Barua umeandika kwa ku-typing au mkono.?

[emoji23][emoji23] Chuo gn hicho umeweka necta ikakubali

[emoji23][emoji23] Labla Zoom college ndo ukiweka necta inakubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bila shaka umeamka salama mkuu.

Kwa wale wa upande Afya, mumefanikiwaje kujaza taarifa za chuo. Chuo nakipata ila kozi inagoma kupatikana hivyo nakwama kwenda mbele.
 
Mimi ilikubali.. changamoto ni mikoa tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bila shaka umeamka salama mkuu.

Kwa wale wa upande Afya, mumefanikiwaje kujaza taarifa za chuo. Chuo nakipata ila kozi inagoma kupatikana hivyo nakwama kwenda mbele.
Sehemu ya "accredited by" weka NECTA kama ni diploma au certificate baada ya hapo reg number itaweza kuwa verified kwa urahisi uendelee mbele. Japo pia kwenye selection za mikoa Kuna changamoto Mimi ndo nimekwama
 
Habar za asubuh ndugu.Nilikua na mpango wa kuamkia stationary,nimempigia mhusika anasema mtandao bado unasumbua mpaka jana hajafanikiwa kumfanyia mtu aplication.Mnanishauri nini?Naomben wenye uzoefu Na hili jambo wanipe ushaur nianzie wapi.
N.B.Sina Laptop,Nina Simu Yenye uwezo kias,japo netwk napoish ipo chini /saiz ya kati.
 
Pole sana Itakua network yake ndo inatatizo.....mm nishafanyia application za education Kam 3 na mm mwenywe nishamaliz Kila kitu na kuedit naedit vzr tuuu......atafute mb za kutosha
 
Msaada jamani najaribu kufungua akaunt kwenye hatua ya mwanzo kabisa nimejaza taarifa binafsi kisha inaniandikia "failed to verify login credentials"

20220424_075425.jpg
 
Sehemu ya "accredited by" weka NECTA kama ni diploma au certificate baada ya hapo reg number itaweza kuwa verified kwa urahisi uendelee mbele. Japo pia kwenye selection za mikoa Kuna changamoto Mimi ndo nimekwama
Kama ni Bachelor si ndio TCU inahusika?
 
unaongea kitu usichokijua halaf unaongea kwa kujiamin yan[emoji3][emoji3] tangu lini elimu ngazi ya cheti na diploma wakatoa NACTE
Certificate ni NECTA
Sema diploma ndo sijajua
 
Back
Top Bottom