Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Mm kila shule nilochagua nipo alone
Kuna jamaa mmoja alikuwa anashangilia, km wewe hakujua kwamba ukishaomba husipobadilisha shule wanakuonyesha idadi ya walioomba wakati uliposave, Ila uki edit nakuchagua shule nyingne watakuonyesha namba mpya ya waombajii
 
hakuna haja hata ya ku-edit, asubiri ifike deadline ndo aseme yuko pekee yake mana unaweza kukuta hy siku mpo kama 100+ mana kila muda watu wanaongezeka
Kuna shule wakat nna-apply walikuwa 88 lkn leo leo niloporudi tena nikakuta wamefika 98
Kwanza jamaa hata simuamini kama yuko pekee yake, lbl aweke screenshot ndo nitaamini
 
Kwa mfumo unawatema Walimu waliosoma SAUT wanakosea wapi wakifika kujaza taarifa za chuo. MSAADA KWAO Tafadhali. Au Kama Kuna mwanaSAUT alifanikiwa Amefanyaje????
 
Mimi sio mwalimu, nimeomba AFYA kupitia WIZARA…. huku TAMISEMI bado najishauri.
Wabongo kwa ujuaji tuko vizuri. Ulivokuwa unaparamia comments zangu nikajua mtu wa maana
Kwa mfumo unawatema Walimu waliosoma SAUT wanakosea wapi wakifika kujaza taarifa za chuo. MSAADA KWAO Tafadhali. Au Kama Kuna mwanaSAUT alifanikiwa Amefanyaje????
Tulizeni akili, kuna mtu amesoma saut nimemfanyia na nimemaliza.
 
ndio inawezekana
Msaada nikingiza namba ya form six inaniandikia hivyo shida ni nini na sijakosea kitu
20220426_080157.jpg
 
Wakuu kuna mtu katoboa upande wa Afya Tamisemi hasa kwa wale wenye Degree?

Details za chuo kizungumkuti, IT wa Tamisemi anaendelea kula big time tu.
 
Back
Top Bottom