6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Habari,
Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta.
Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri...
Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz kwenda nje ya nchi, au nje ya nchi na kurudi nyumbani Tanzania.
Nchi nyingine kwasaaa hawakupi Visa hadi uwe umepata chanjo tena mbili na uwe na certificate ya chanjo.
Sasa kwa Tz ambapo hata bado mchakato huu haujaanza tunafanyaje??
Ni chanjo zipi zipo approved na zinakubalika internationally kwa ajiri ya wasafiri?
Utaratibu na gharama zikoje kupata chanjo?