#COVID19 Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

So mkuu inaelekea ukisafiri kwa ndege , utapunguza usmbufu na gharama za kupima kila Border za huko kwa safari ya SA au botsawana?
Ndege risk ya kupata corona ni kubwa kuliko usafiri wa bus...na ndege nyingi sio za moja kwa moja zinapitia Nchi zinakotoka kama Rwanda itapita kigali na KQ inapita Nairobi na muda mwingjne transit yake unakaa masaa mengi kusubiri ndege ya kuendelea na safari...
 
Kwa kuwa lengo la covid ni chanjo, inaweza kuwa free na bado mkapewa mshiko mnene kwa kila mtu mnayemchanja ili mtoe kafara kubwa zaidi.
Kwanini unasema ni kafara mkuu?
 
Ndege risk ya kupata corona ni kubwa kuliko usafiri wa bus...na ndege nyingi sio za moja kwa moja zinapitia Nchi zinakotoka kama Rwanda itapita kigali na KQ inapita Nairobi na muda mwingjne transit yake unakaa masaa mengi kusubiri ndege ya kuendelea na safari...
Nimekusoma vyema mkuu!!!
 
Paris in flames as protesters fight new Covid pass and vaccine laws (msn.com)

Protesters in Paris were tear gassed during violent demonstrations against France's new Covid laws making jabs compulsory for health workers and demanding vaccine passports for bars and restaurants.

Hundreds of cafe owners, hospital workers and parents, some chanting 'Liberty! Liberty!', took to the French capital on Bastille Day to rebel against President Macron's controversial plans that were introduced this week to tackle the nation's surging coronavirus cases.

Large crowds were confronted by riot police, who fired tear gas to try to disperse the advancing group. Protesters and police kicked the tear gas canisters at each other, and cyclists calmly weaved through the crowd.

Some of those protesting set a mechanical digger alight and flipped rubbish containers, while others wore badges that refuted the new measures: 'No to health passes'.

In April, President Macron promised vaccine passports would 'never be used to divide' the French. But, by mid-July, the French premier is demanding concerts, hospitality venues and more to check for proof of vaccination status or a negative PCR test in a bid to boost the nation's vaccination rates.

Restrictions will expand by August, meaning those wanting a beer in a bar, families going out for dinner, public transport passengers and care home visitors will all require proof of a negative test or vaccine.

On September 15, it will become mandatory for healthcare workers and carers to receive a coronavirus vaccine - with threats of termination of employment should they refuse.
 
Dah kwa huku Qatar kwanza ni lazima uje na certificate ile ya corona. Na ukifika airport pale wanakupiga tena kwa gharama zako. Na watahitaji at least uwena USD 2800 kwa ajili ya quarantine for two weeks. Hiyo ni lazima kwa wageni ambao siyo raia wa nchi hii. Ni lazima use tumepigwa chanjo tena mbili, wanafanya hivyo kwa maana ya kombe la dunia mwakani hivyo wako makini balaa.. Hivyo kama una mpango wa kuja Qatar kwa sasa ufute maana gharama na vigezo vimekuwa vyingi mfano huku kazi ni nyingi lakini za mkataba mifupi mifupi miezi sita, Tisa, mitatu hivyo..
Na baada ya kombe la dunia wageni wengi watarudishwa makwao hasa wale kwenye mkataba mifupi. Mfano Mimi mkataba wangu unaisha July 2023 hivyo naruhusiwa kuingia na kutoka Qatar ila kwa sababu maalumu.
Kwanza January may be wataanza kupokea watu kwa ajili ya kombe la dunia..
Mambo ni mengi sana huku ya kufanya, ingekuwa hakuna mavigezo ya kuingia basi ningewaboost vijana wenzangu wake kubeba boksi huku tusukume life.
 
Usd 2800 mkuu hapa tumeshakwama kabisa kwa sisi wengine...

Yanj upigwe chanjo upewe cheti na bado wakupe chanjo nyingine...na uwekwe quarantine??
 
Kuna dawa ya corona ? Inaitwaje?
Hapana nilimaanisha kuna dawa nyingi na chanjo za magonjwa mbali mbali kwanini , tatizo au wasi wasi uwe kwenye chanjo ya corona ?
 
Dah kwa huku Qatar kwanza ni lazima uje na certificate ile ya corona. Na ukifika airport pale wanakupiga tena kwa gharama zako. Na watahitaji at least uwena USD 2800 kwa ajili ya quarantine for two weeks. Hiyo ni lazima kwa wageni ambao siyo raia wa nchi hii. Ni lazima use tumepigwa chanjo tena mbili, wanafanya hivyo kwa maana ya kombe la dunia mwakani hivyo wako makini balaa.. Hivyo kama una mpango wa kuja Qatar kwa sasa ufute maana gharama na vigezo vimekuwa vyingi mfano huku kazi ni nyingi lakini za mkataba mifupi mifupi miezi sita, Tisa, mitatu hivyo..
Na baada ya kombe la dunia wageni wengi watarudishwa makwao hasa wale kwenye mkataba mifupi. Mfano Mimi mkataba wangu unaisha July 2023 hivyo naruhusiwa kuingia na kutoka Qatar ila kwa sababu maalumu.
Kwanza January may be wataanza kupokea watu kwa ajili ya kombe la dunia..
Mambo ni mengi sana huku ya kufanya, ingekuwa hakuna mavigezo ya kuingia basi ningewaboost vijana wenzangu wake kubeba boksi huku tusukume life.
Unaweza kutoka Dubai au eneo lolote la karibu kwenda Doha kwa bus? Kwa transit visa ile ya 90 hrs /or tourist?
 
Ukishawekwa kwenye Database haupimi tena kwenye port of entry/nchi husika unayokwenda...?
 
Corona ni biashara siku hizi nchi zote ukitoka unapima ukiingia unapima
 
Back
Top Bottom