Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Yes. Border and aiport.Hii ni
kwa hapa Tz kwa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Border and aiport.Hii ni
kwa hapa Tz kwa sasa?
Na unalipa kwa control number...Yes. Border and aiport.
Mkuu WHO wanaratibu chanjo za bure kwa nchi "zinazoendelea" baada ya kujiorodhesha.....hizi wananchi hatutalipia(free of charge)....
Ila pia ziko za kulipia mkuu wangu....
Duh kumbe unaweza pita Botswana? Sikuwahi kujua,najua ya Zimbabwe tu ! Lusaka-Harare-Jorbeg.Mimi nilienda SA mwanzo kabla ya delta nimitumia usafiri wa bus kutokea Lusaka hapo unapima Corona tena kwa appointment siku moja kabla ya safari unalipa kama laki na therathini hivi hapo UTH..usafiri mnaanza saa kumi na moja alfajiri bus zinapitia Kazungura border kuingia botswana ni masaa sita hivi mkifika hapo abiria wote mnashuka mnapima tena mara nyingi bus huwa linalala hapo mpaka kuwamaliza abiria wote ila kuingia Botswana hakuna malipo na kuingia SA ila kutoka SA kuna malipo kupata kipimo cha korona kama laki na ishirini...mwezi uliopita nikasema ngoja niende na Rwanda air usumbufu hakuna ni cheti chako ambacho umepima Tanzania kiwe ndani ya masaa 72 ndio unaruhusiwa kuingia SA ila hupimwi tena pale Oliver Tambo labda waamue tuu wao wanaamini taarifa za vyeti za nchi zingine ila unaporudi Tanzania na SA umepima na cheti bado kipo ndani ya masaa unalipia 57,000 tena kupima kipimo ambacho Botswana ni bure vifaa vya kupimia vipo kwenye maduka hata elfu kumi na sita haifiki kununua tena vikiwa 12...View attachment 1854344View attachment 1854346
[emoji848]aiseeeDah kwa huku Qatar kwanza ni lazima uje na certificate ile ya corona. Na ukifika airport pale wanakupiga tena kwa gharama zako. Na watahitaji at least uwena USD 2800 kwa ajili ya quarantine for two weeks. Hiyo ni lazima kwa wageni ambao siyo raia wa nchi hii. Ni lazima use tumepigwa chanjo tena mbili, wanafanya hivyo kwa maana ya kombe la dunia mwakani hivyo wako makini balaa.. Hivyo kama una mpango wa kuja Qatar kwa sasa ufute maana gharama na vigezo vimekuwa vyingi mfano huku kazi ni nyingi lakini za mkataba mifupi mifupi miezi sita, Tisa, mitatu hivyo..
Na baada ya kombe la dunia wageni wengi watarudishwa makwao hasa wale kwenye mkataba mifupi. Mfano Mimi mkataba wangu unaisha July 2023 hivyo naruhusiwa kuingia na kutoka Qatar ila kwa sababu maalumu.
Kwanza January may be wataanza kupokea watu kwa ajili ya kombe la dunia..
Mambo ni mengi sana huku ya kufanya, ingekuwa hakuna mavigezo ya kuingia basi ningewaboost vijana wenzangu wake kubeba boksi huku tusukume life.
Vya Bure.......Mkuu WHO wanaratibu chanjo za bure kwa nchi "zinazoendelea" baada ya kujiorodhesha.....hizi wananchi hatutalipia(free of charge)....
Ila pia ziko za kulipia mkuu wangu....
Hakika....Hizi za kulipia Mkuu nina wasiwasi nazo sana kwani matapeli wanaweza kuona opportunity ya kutengeneza millions na hivyo kuwadunga watu sindano zenye maji huku wahusika wakijua wamepata chanjo.
Kama una biashara, familia au kazi huko utafanyaje??Duh kumbe unaweza pita Botswana? Sikuwahi kujua,najua ya Zimbabwe tu ! Lusaka-Harare-Jorbeg.
Duh mbona naona gharama sana kwa basi sbb ya hivyo vipimo jmn[emoji848]
Sijui itakuwaje inabidi nisisafiri kwakweli coz siwezi kuchanja
Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Hili ni janga ilifaa gharama za kupima ziwe chini na sio kuongeza gharama wasafiriSo unapimwa na bado watataka cheti cha covid19 pamoja na cheti cha chanjo ya covid19???