Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Ndege risk ya kupata corona ni kubwa kuliko usafiri wa bus...na ndege nyingi sio za moja kwa moja zinapitia Nchi zinakotoka kama Rwanda itapita kigali na KQ inapita Nairobi na muda mwingjne transit yake unakaa masaa mengi kusubiri ndege ya kuendelea na safari...So mkuu inaelekea ukisafiri kwa ndege , utapunguza usmbufu na gharama za kupima kila Border za huko kwa safari ya SA au botsawana?
Nimekusoma vyema mkuu!!!Ndege risk ya kupata corona ni kubwa kuliko usafiri wa bus...na ndege nyingi sio za moja kwa moja zinapitia Nchi zinakotoka kama Rwanda itapita kigali na KQ inapita Nairobi na muda mwingjne transit yake unakaa masaa mengi kusubiri ndege ya kuendelea na safari...
Nitakujibu.Kwanini unasema ni kafara mkuu?
Tofauti ni kama Vx na NoahTofauti yake ni ipi kati ya hizo mbili?
Kuna dawa ya corona ? Inaitwaje?Nawaza maana kuna chanjo na dawa nyingi sana why tuuwawe kwenye corona..? Nakusubiri mkuu
Chanjo zipi ni vx na zipi ni kama Noah ebu tutajie na sisi tuelimike.
Usd 2800 mkuu hapa tumeshakwama kabisa kwa sisi wengine...Dah kwa huku Qatar kwanza ni lazima uje na certificate ile ya corona. Na ukifika airport pale wanakupiga tena kwa gharama zako. Na watahitaji at least uwena USD 2800 kwa ajili ya quarantine for two weeks. Hiyo ni lazima kwa wageni ambao siyo raia wa nchi hii. Ni lazima use tumepigwa chanjo tena mbili, wanafanya hivyo kwa maana ya kombe la dunia mwakani hivyo wako makini balaa.. Hivyo kama una mpango wa kuja Qatar kwa sasa ufute maana gharama na vigezo vimekuwa vyingi mfano huku kazi ni nyingi lakini za mkataba mifupi mifupi miezi sita, Tisa, mitatu hivyo..
Na baada ya kombe la dunia wageni wengi watarudishwa makwao hasa wale kwenye mkataba mifupi. Mfano Mimi mkataba wangu unaisha July 2023 hivyo naruhusiwa kuingia na kutoka Qatar ila kwa sababu maalumu.
Kwanza January may be wataanza kupokea watu kwa ajili ya kombe la dunia..
Mambo ni mengi sana huku ya kufanya, ingekuwa hakuna mavigezo ya kuingia basi ningewaboost vijana wenzangu wake kubeba boksi huku tusukume life.
Unaweza kutoka Dubai au eneo lolote la karibu kwenda Doha kwa bus? Kwa transit visa ile ya 90 hrs /or tourist?Dah kwa huku Qatar kwanza ni lazima uje na certificate ile ya corona. Na ukifika airport pale wanakupiga tena kwa gharama zako. Na watahitaji at least uwena USD 2800 kwa ajili ya quarantine for two weeks. Hiyo ni lazima kwa wageni ambao siyo raia wa nchi hii. Ni lazima use tumepigwa chanjo tena mbili, wanafanya hivyo kwa maana ya kombe la dunia mwakani hivyo wako makini balaa.. Hivyo kama una mpango wa kuja Qatar kwa sasa ufute maana gharama na vigezo vimekuwa vyingi mfano huku kazi ni nyingi lakini za mkataba mifupi mifupi miezi sita, Tisa, mitatu hivyo..
Na baada ya kombe la dunia wageni wengi watarudishwa makwao hasa wale kwenye mkataba mifupi. Mfano Mimi mkataba wangu unaisha July 2023 hivyo naruhusiwa kuingia na kutoka Qatar ila kwa sababu maalumu.
Kwanza January may be wataanza kupokea watu kwa ajili ya kombe la dunia..
Mambo ni mengi sana huku ya kufanya, ingekuwa hakuna mavigezo ya kuingia basi ningewaboost vijana wenzangu wake kubeba boksi huku tusukume life.
Kupima covid19 ni 100usd , je chanjo itakuwa free...? Najiuliza hapa Mkuu.