#COVID19 Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

Hizi za kulipia Mkuu nina wasiwasi nazo sana kwani matapeli wanaweza kuona opportunity ya kutengeneza millions na hivyo kuwadunga watu sindano zenye maji huku wahusika wakijua wamepata chanjo.
Mkuu WHO wanaratibu chanjo za bure kwa nchi "zinazoendelea" baada ya kujiorodhesha.....hizi wananchi hatutalipia(free of charge)....

Ila pia ziko za kulipia mkuu wangu....
 
Duh kumbe unaweza pita Botswana? Sikuwahi kujua,najua ya Zimbabwe tu ! Lusaka-Harare-Jorbeg.

Duh mbona naona gharama sana kwa basi sbb ya hivyo vipimo jmn[emoji848]
Sijui itakuwaje inabidi nisisafiri kwakweli coz siwezi kuchanja

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
[emoji848]aiseee

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Hizi za kulipia Mkuu nina wasiwasi nazo sana kwani matapeli wanaweza kuona opportunity ya kutengeneza millions na hivyo kuwadunga watu sindano zenye maji huku wahusika wakijua wamepata chanjo.
Hakika....
 
Corona ni biashara siku hizi nchi zote ukitoka unapima ukiingia unapima
So unapimwa na bado watataka cheti cha covid19 pamoja na cheti cha chanjo ya covid19???
 
Kama una biashara, familia au kazi huko utafanyaje??
 
Kuanziq kesho wanaanza kuchanja makundi rasmi
 
So unapimwa na bado watataka cheti cha covid19 pamoja na cheti cha chanjo ya covid19???
Hili ni janga ilifaa gharama za kupima ziwe chini na sio kuongeza gharama wasafiri
 
Kwa ufupi hii ni biashara kwa sasa, na ushindani ni mkubwa katika nchi zinzouza chanjo!!
 
Johnson & Johnson haijawa approved huko UAE kwanini...?
 
Shida inakuja sasa ni chanjo ipi inakubalika kwa safari unayotaka kwenda nje ya nchi! Mfano wanaoneda kuhiji Saudi wanapokea watu waloochanjwa chanjo ipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…