Changamoto za uke wenza

Ukiwakuta vijiweni na humu jf wanavyojazana upepo utafikiri imo, wakati katika hali halisi hata wake zao kuwatosheleza wameshindwa.
wachepukaji mko wengi kumbe JF..... Huu ni ushahidi tosha kwamba nyie akili zenu ni kutaka kugegedwa tu na si chengine, mana nkisoma michango yenu mmeshikilia mambo ya kugegedwa tu. Wanawake wa aina yenu hata muwe na mwanaume mmoja hamtoridhika, mtachepuka tu! KUCHEPUKA NI TABIA YA MTU TENA NASEMA NI TABIA YA KIKAHABA, hakuna justification ya kuchepuka! Khalas!
 
Kiubinadamu hakuna kitu kama hicho, ni vile tu dini inalazimisha hivyo mtu anakuwa hana jinsi. Kwahiyo ukikosa pesa unaamua kuiba kwakuwa hauna pesa na una mahitaji unayotakiwa kuyatimiza? Ushawahijiuliza kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume? Au kwakuwa akili iliishia kwenye tamaa za kimwili basi suluhisho ni kuoa zaidi ya mmoja!!
 
Haya kahaba mwenzetu.
 
Haya kahaba mwenzetu.

Hahahaa.... Mi siwezi kuwa kahaba, sijawahi kwenye maisha yangu kusapoti mke au mume kuchepuka.... Anaesapoti kuchepuka ndio Kahaba na yeye ndio mchepukaji...... Pole kama imekugusa
 
nipo kwa njia naenda kulala kwa mchepuko wangu ni mke mdogo wa jamaa hapa mtaani

maombio yenu jmani😀😀😀
 

Sasa ulitaka nicomment nini ikiwa mada inazungumzia hilo la mgegedano!! Au mnaoana ili mkapige picha??
Hata wewe post zako zimezungumzia hilohilo maana ndilo la msingi kwanza hayo mengine mbwembwe tu.
 
Hahahaa.... Mi siwezi kuwa kahaba, sijawahi kwenye maisha yangu kusapoti mke au mume kuchepuka.... Anaesapoti kuchepuka ndio Kahaba na yeye ndio mchepukaji...... Pole kama imekugusa
Haichukui muda kwa kahaba kumtambua kahaba mwenzie. Basi sawa kahaba mkuu.
 
nipo kwa njia naenda kulala kwa mchepuko wangu ni mke mdogo wa jamaa hapa mtaani

maombio yenu jmani😀😀😀
Sasa tukuombee usiishie njiani au ukamatwe?
 
Reactions: kui
Maisha ya hapa duniani ni mafupi sana na kusema kweli hakuna jambo lolote kabisa linaweza kumpa binadamu raha au furaja. Si pesa, simali, si mke/mume. Nionavyo afya ya akili na mwili ndivyo vitu muhimu kupita vyote.

kwa hiyo kuoa mke mmoja au wengi au kuwa na mpenzi mmoja au zaidi hakukamilishi hata kidogo furaha ya mwanadamu.

kuoa au kuolewa kunaweza kuwa ni tatizo na pengine kuna watu watafikiria ni bora kuepuka jambo hili. Tafakari kwa nini watu husema PINGU za maisha. connotatively pingu ni nini hasa? kwa nini hili neneo lilipachkwa hapo.

Mkuu kuhusu mchepuko ni vema mtu akapuuzia tu na kuviziavizia hakusaidii mwili na akili badala yake huunyong'onyeza na kusononesha akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…