Changamoto za uke wenza

Hebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,

Akili yangu inajua nna mme halaf asilale kwangu akalale kwingine ,nnaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]
 
Hebu itolee maelezo hii habari yako kidogo manake naona kama unajicontradict shost.
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…