Changamoto za uke wenza

Na anaye date na mume wa mtu kwani anatofauti gani na hawa si Bora hawa mara Mia mbili
 
Kuna mwanamke alimtafutia mme wake mke wa pili(yaani alijitafutia mke mwenza) na alikuwa pini zaidi yake, pia akampa mme wake pesa ili akatoe mahari. Ni mindset ya mtu tu.
Kulikuwa na shida mahali
 
Kikubwa usimpe mtu moyo wako wote aisee. Wanaume ni waongo sana ukishanogewa ndo unajua ukweli. Kikubwa ukiwa na mahusiano jijengee mko wengi Pata raha yako chapa lapa as long as ni nguvu zake hata akiwa na kumi atajiju yeye
Duh hvi wanaume wa kweli watakuwa wanaishi sayari ipi maana duniani inaonekana wapo waongo tu
 
Wajta ni wahuni Kuwa naye makini utaja lia. Labda umchune hafu ukuacha ukolee ndo wakuonyeshe true color
Watatu,na kuna mmoja namfanyia usail,ni handsome kwenye 35's ,kazi nzuri ,smart guy,ana focus na malengo ya maisha yake,afu ni mjita pia mweeh
 
Kuna tofauti gani na waume za watu unaodate naw mkuu,nao uko nao muda wote
 
Na hivi wanaume wenye mke mmoja wanawezaje?
Yaani nataka mambo eti mtu aniambie sijui niko kwenye siku zangu wakati ni zake sio zetu?
Mimi nataka kila siku kwahiyo kama mtu anajijua ana siku zake na sio zetu basi akiwa kwenye hizo siku zake atalala mwenyewe na mimi nitakua naenda wapi.
Kama nyinyi hamuupendi uke wenza wa hadharani ila wa gizani upo mpaka dunia inaisha.
Wanawake mtafanikiwa kuzuia hilo pale mtakapofanikiwa kuingia maabara na kutengeneza wanaume wenu wa maabara ila sisi wa Mungu acheni kujidanganya sisi tumeshapigwa sindano na aliyetuumba .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…