Changamoto za uke wenza

Huwa wanapigwa ndele
 

Pole side chick
 
Ukewenza wauma aikuambie mtu sikilizia kwa mwenzioo..siku akienda kw mwenzako unawaza masarakasi anayokupaga anaenda pewa mwenzako..
Pia huwezi kataa kama mme kaamua kuoa kashaamua heri anayeoa kabisa mwajuana kuliko wale wengine wanajidai masaints kumbe ni wachafu balaaaa...
Akitaka oa kwa mie simkatazi bali nipate huduma zangu kma mwanzo zisipungue kwani mtu anayeoa mke mwingine means anajiamin kuwa ana uwezo wa kutunza wake zake wote..
Siwezi kukubali mwenxangu naona ananawili then.mie huku kwangu huduma naona hafifu na tuheshimiane basi mambo yataenda sawaaaa...
NB:: tusiseme.kuwa hatuwezi vumilia bali mme akiamua kukuolea mwenzako huwexi mzuiaaa hataaaa.
By kungwi mtoto.
 
Wenyewe mnasema umenasa. Hupindui.
 
Lakini ukweli ni kuwa hata wanawake wakiislam wengi hawapendi kuletewa mke mwenza au kuolewa kama mke wa pili.


Wabillah Tawfiq,
 
Sisaidiki ndo shida. Namuacha mtu nikitaka ila sio pressure from outsiders. Rafiki zangu wameongea wamenyoosha mikono. Nitamuacha I know ila moyo ukiea tayari kama sada hivi..
Ni vyema kuwa unajitambua muhimu ni kuuachia muda ukuponye na uwe msaada pekee nadhani baada ya kitambo kidogo kupita kinachokuumiza leo kitabaki historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…