Changamoto za uke wenza

Hahaaaaa jamani si unajua tena huyo ndo Ana uchungu kuliko wapita njia tunaokutana nao utu uzimani
Hahaha nahisi Hata na mie ninazo hizo chembe za uchungu unazozingumzia japo nikiri wazi sijathubutu kuvaaa viatu vya mzee wako najua havitanitosha
 
Inashangaza kwakweli....!

Hata Adam aliumbiwa mke mmoja tu.

Sijui wenzetu waislam wanawezaje kutokomeza wivu na kuchukulia poa hiyo hali.
Mwanaume mwenye uwezo na akawa na mke mmoja ni kukosa uadilifu.

Kilichotekea kwa Adam ndicho anachokitaka mleta mada ili amgande, ampelekeshe na kumpoteza mumewe kama alivyofanywa Adam.

Adam angekuwa na wake wengi ile siku angekuwa kwa mke mwengine yule bibi asingempotosha.

Hadi hv Leo tungekuwa peponi tunakula bata.
 
naona kama inawahusu sana wanawake ngoja waje wakusaidie kukushauri maana saiv kuwa peke yako labda miujiza itokee tena lkn sio kwa sasa
Mkuu hao ndio wanawake wasikusumbue sana usikute mleta mada anadate na mume wa mtu
 
Huwa kuna hisia fulani tu inakujia outomatic.
Shawahi kudate mume wa mtu for two years bila kujua lkn basi tu kuna kitu kilikuwa kinaniambia nilipo sipo. Japo nashukuru alinirahisishia maisha yangu ya chuo na akawa ni daraja la kukutana na the man i truly loved.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za wanaume bwana!! Inasikitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha nahisi Hata na mie ninazo hizo chembe za uchungu unazozingumzia japo nikiri wazi sijathubutu kuvaaa viatu vya mzee wako najua havitanitosha
Na huwezi zifikia hizo chembe za uchungu hata kidogo
 
Maisha bana unaweza jikuta unafanya ambavyo hayakuwai kua malengo yako kabsaa
Nlidate na mtu akaoa nipo and things were still gud btn us kila nikimwacha analia huruma inanifanya nashindwa kusimamia msimamo wangu
Hajawai nikosea hata mara 1 mimi sasa kivuruge but he is still there! Been wondering lini mi na yeye tutaenda apart and nitaweza na mtu mwngne!Its really hard Mungu atusaidie
 

Pole sana aisee, afu naomba nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepatikana
 
Unaweza ukaona wewe mwenyewe una wake wenza Kama wanna a.k.a michepuko ila tu hujui
 
Nakuambia hivi nishapitia wanaume wa hivyo shule kamili ninayo kichwani, G wangu ni malaika hakuna kama yeye jasiri haachi asili nakuambia,
Kumbe umeolewa na malaika,hapo sawa upo sahihi,Mimi nikajua huyo G Ni binadamu,kumbe malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…