Changamoto za uke wenza

Zamani wanaume walikua wanaoa zaidi ya mke mmoja ili waweze kusimamia mashamba na mifugo, wazalishe na kukuza uchumi wa familia.
Siku hizi baba akijisikia amekosea step anatafuta mke mwingine, ila sina uhakika wa kosa linalofikisha huku ni lipi. Pia sijui mama akikosea step anatafuta mume mwingine au anakua single mama
 
sio wa kike boss, na stori yangu ilikuwa ndefu ila kwa info kwako, kuna wakati yule mzee alimbamba na kwa hasira akampeleka hadi kwa huyo mganga wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh. Sorry kwa kudhania wa kike. Though mama zetu akishamchukia mke mwenzake utaambiwa kila baya kuhusu babako achikia mbali mamako mdogo.
It is very wrong kulaani uke wenza kwa kisa kimoja tu cha nyumbani kwenu.
 
yah nalaaani coz of what me and my family went through...sio hivi hivi kama unavyofikiria, my mom went thru hell kwa sababu ya yule mwanamke
Ooh. Sorry kwa kudhania wa kike. Though mama zetu akishamchukia mke mwenzake utaambiwa kila baya kuhusu babako achikia mbali mamako mdogo.
It is very wrong kulaani uke wenza kwa kisa kimoja tu cha nyumbani kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatafta kiserengeti boy
 
waooooooh ...thank u, ahsante sanaa... kila mwanaume anasema amekosea step ndio maaana kaoa wa pili ,,,,je kama yeye ndio mkorofi kwa mwanamke..so mwanamke nae aoe mme wa pili... ...[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nishaoa, nafurahia na hata kama akiniudhi sioi wa pili. ukomavu wa kili sio kuoa. kuoa ni step ya maisha ..kuna watu wa umri wako hawajoa ila wana akili zaid yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana akili huyo ni puto kichwani, we unazani kwanini kiongozi anaanza kupimwa kwa namna anavyoishi na mke wake na familia yao kiujumla?
 
Hana namna anajitaidi tumuone yuko sawa na haitakuwa sawa ndio maana kaonekana kama mlozi ukweni ata ule ukaribu wa kinafki ukawashinda mawifi 😩 😩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…