Changamoto za uke wenza

Kuna babu wa kiarabu nilimzoea aliniambia ana wake watatu nikamwambia hongera uko na raha alinijibu tu katika kitu ambacho alikosea maishani mwake ni kuoa wake wengi na ktk kitu ambacho kawausia vijana wake ni wasijaribu kuoa mitala nikamshangaa sana nikamwamuuliza dini si inakuruhusu akaniambia acha tu hakuna kitu kibaya kama kuwa mtumwa wa mwili wako. Yaani wewe maisha yako unazunguka tu kutoa mapenzi kwa hao wanawake halafu wanawake wenyewe hawajatahiriwa kwa hiyo wako na ashki sana matokeo yake unachoka mwili na akili ukifika kwa huyu ukimwambia nimechoka anakujibu unampenda zaidi fulani na kumbuka wanashindana kutoa penzi matokeo yake wewe unachoka na bado watoto wanazaa wengi na wewe ndio uhudumie, usipohudumia unaonekana unapendeleaw fulani aliniambia sina hamu tena ila according tu yeye mwenyewe watoto wake wa mke mkubwa ndio waliobarikiwa kwenye maisha.na ndoa pia.
Nilimuuliza why hao wamebarikiwa zaidi akaniambia mara nyingi mwanamke mwenye utu huwa hawezi ingilia ndoa ya mwingine wengi huwa wanakuwa ni mashetani so hata watoto wanaowazaa ni hivyo hivyo
 
Yaani hakunaga usawa, familia nyingi zenye nimeona za ndugu, babu zetu, majirani hakunaga amani kwa wake wenza adi watoto na wengi sana uahirikina unahusika kwa kina bi mdogo ni kweli usemavyo wengi wanaocoment kupingana mama/ bibi zao wanaowasema ni kina bi mdogo
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh. Sorry kwa kudhania wa kike. Though mama zetu akishamchukia mke mwenzake utaambiwa kila baya kuhusu babako achikia mbali mamako mdogo.
It is very wrong kulaani uke wenza kwa kisa kimoja tu cha nyumbani kwenu.
98% ya familia za mitala hazinaga amani wala maelewano kubali kataa lakini ndo ivo, ata wawe wanaishi mikoa tofauti hao wake wenza yaani hakunaga.....na wengi walio oa mara nyingi ukiongea nao lazima akwambie anajutia kuoa mke zaidi ya mmoja ni kwanini???
 
Ndoa za wake wenza ngumu sana ingawa sja experience iyo ktk familia yangu nimesimliwa na baba na mama wote wametoka ktk familia za wake wenza, ya mama nimeiona, ni tabu tubu babu alishafariki lakini watoto adi sasa hakunaga maelewano, baba anasema babu naye alijichanganya akachukua bi mdogo akamkamata na matunguli akafukuzia mbali, na apo mzee ni wa miaka 50 uko so msitudanganye wenye kumpinga mtoa mada izo mambo zipo toka zamani mnoooo uke wenza sio mzuri
 
Tatizo sio mke wa pili,ila baba yako hana hela na anataka kuoa wake wawili.wenzake wanajenga sehem tofauti.

Unawapa mitaji kisha unawaacha wapambane na hali zao,panapofel unarekebisha,familia zinabaki fresh tu.

Ila kama hawana kitu wote,nawe unga unga mwana,ah watakuroga mpaka ujute na ugomvi wa hapa na pale kama mashariki ya kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante sana mkuu, kwa maaana mimi nilivyosema wakaanza kuniponda eti sijui nachokizingumzia. Ukweli ni kuwa ndoa za mitala ni WORLD WAR 3
Sent using Jamii Forums mobile app
 
bosi wangu..mkuu wanggu..hata kama uwajengee mmoja mwezini mwingine mars, ila ile ideology bado inabaki, kama mtu ni muovu ni muovu yuko radhi atoke mars aje kumharibia huyu alieko mwezini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa na hawajawi kupendana kama wanavyosifiana humu.....waliocomment wengi michepuko inavutia upande wa kuonekana wako sahihi[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sababu ya kuoa mke wa pili lakin sababu za kuchepuka zipo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…