Changamoto za uke wenza

Labda kuna ukweli sijui. Binafsi nimetokea jamii ambayo zaidi ya 90% kijijini kwetu ni polygamist. Nimeona familia hizo zikiishi kwa amani kabisa. Hata hivyo siwezi kupingana na data zako maana wewe ndo unajua sample yako.
 
Nisichoamini hapa kutuaminisha mleta uzi ni mwanaume. Nakama kweli mleta mada hii ni mwanaume basi kweli wanaume tumeisha tangia kizazi cha miaka ya 80 kurudi chini.nikija ktk kujibu mada yako,chakukusaidia tu! Hivi dada hujaona ndoa za mke m1 zenye matatizo? Basi kama umeona ndivyo hivyo pia kuna ndoa za zaidi ya mke m1 zinamatatizo pia,lakini nyengine ni shwari.nimekuita dada sababu nimeamini hivyo.chakukusaidia tu! Nihivi kumuongoza mwanamke kunahitaji akili nyingi sana awe m1 au zaidi,usipotumia akili matokeo utalaumu ndoa za mke zaidi ya m1 kesho utalaumu wanawake. Acha upumbavu kama umekuwa hama nyumbani kwenu sio unang'ang'ania kumuangalia baba yako anaishi vipi na mama zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kuna ukweli sijui. Binafsi nimetokea jamii ambayo zaidi ya 90% kijijini kwetu ni polygamist. Nimeona familia hizo zikiishi kwa amani kabisa. Hata hivyo siwezi kupingana na data zako maana wewe ndo unajua sample yako.

Mi chache sana zenye amani na usiangalie kwa amani ya nje ukiishi hapo ndani ndio utajua ukweli, Mimi shemeji yangu ana wake wawili wanaelewana sana japo mwanzoni walikuwa chui na paka ila tumekuja kugundua hawa wanawake kila mmoja ana mchepuko wake na cha ajabu wanafichiana siri kwa hiyo shemeji yangu yeye wanamfanya ATM tu
 
Mwanaume akiwa na uwezo wa kiuchumi, kiakili na kimwili anaweza kuoa wanawake wengi awezavyo. hivyo visa unavyoripoti viko kila mahali na kwakila jamii hata katika familia za mke moja.Jamii katika nyanja ya mahusiano haijawai kukosa misukosuko na kupambana nayo inategemea na akili za mwanaume nazahiyo familia zikoje.kwaiyo kisa chako kimoja kisijumuishe ndo maisha ya jamii nzima.
 
Inavyoonekana huyo mkristo... Kachepuka hukoooo. . . mwisho wa siku kamrasmisha kiharamu...

Uke wenza ni KWA AJILI YA WAISLAAM... KWA WAKRISTO NI MCHEPUKO TU...
 
yah nishakuwa, ila siwez upumbavu wa kuongeza mke. nawaachia washamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe huwezi sio vyema kuwaita hao wanaoongeza washamba kwasababu inawezekana wewe mwenyewe ndo wale wale kumridhisha mwanamke hadi unywe mkuyati.Kila mtu afanye anachokiweza kwasababu haya mambo yako toka dunia inaumbwa sisi tumeyakuta natutayaacha kwaiyo usijifanye wewe ndo mwalimu.
 
kama ilivyo wewe pia ,naweza kukuita mwanamke coz sijui wewe ni nani, hata kama ningekuwa mwanamke bado ningekuwa na haki ya kuzungumzia hili swala kwa namna hii. Siishi kwetu mkuu na mimi sio mpumbavu kama wewe unavyodhani wanawake ndio wanatoa comment kama yangu. hahaha...what a fool!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante sana, wanaume wanadhani wakishaoa wake wengi eti ni kama hadhi fulani hivi, lakin wanasau au hawajui nini matokeo gani wanatengeneza.

ok watu humu wanasema wameona familia zinaishi kwa amani, LAKIN HAWAJAWAHI KUISHI NAO AS A FAMILY NDANI, wanachukulia poa wakiwaona wana smilie kwa nje..kumbe inawabidi wajifanyie kusmile ili wasiletewe noma na mme wao!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijajumuisha jamii, ila nimeongea ukweli kuwa familia nyingi za namna hii zinakuwa na changamoto sana zaid ya zile za one wife...haijalishi una pesa nyingi, una fikra zaidi ya einstein ...u cant control wanawake hao kwa jins unavyofikiria!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
" tufanye tunayoyawez" hivyo ndivyo utakavyo washauri watoto wako..kwamba wafanye watakayo yaweza bila kuzingatia madahara na changamoto zitakazo wakumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ushauri ungempa baba yako.
Sisi tuMeoa mke nmoja. Ila mchepuko lazima awepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…