Changamoto za uke wenza

Mlaumu mzee wako kwa kutengeneza matabaka mwanzoni kabisa , ukianza kuonyesha mdogo yeye ni bora kuliko mwenzie lazima mbeleni kutokee tafrani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo banzi si mchezo
 
Uzi na ufungwe maana case is closed hapa.

Samahani mleta uzi lakini nahisi baba yako ndio alikuwa ........
 
You tell us, we are here to learn!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakala kwa
1. Kalumanzira, Kimanzichana
2. Hakimu mkazi, mahakama ya Kisutu
3. Mkuu wa Gereza, Segerea
4. Msimamizi wa Makaburi, Kinondoni
 
Dini ingine inaruhusu wanne na watu wanaishi kwa raha mifano hiyo tumeona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena ukweli kabisa,kma sisi wakristu mke ni mmoja ila mahawara kibao na maisha yanasonga vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa alifanya baba yako ni kuoa mke pasina kuwafanya waunganike na wawe na haki sawa. Na hili kila atakayeoa akampa mwanamke mmoja haki na thamani kubwa zaidi ya mwenzake migogoro kama hiyo inakuwepo.

Babu yangu alioa wanawake watatu na kila mwanamke alimjengea nyumba. Alihimiza kuwa kila mmoja anahaki sawa na hayupo aliyemzidi ubora kati yao, hata hivyo aliwaambia anawapenda wote kwa kiasi sawa (haya aliniambia babu).

Hata baada ya babu kufariki wale wanawake (bibi zangu) walibaki wanaishi maisha ya kuthaminiana sana.
 
Wanamme kuna muda huwa wanajisahau sana. BTW Adam and Eve were two in Eden this proportionality should keep running esp for we Christians.

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uhakika Adam na Eva walikuwa wawili..?

Usiishie kwenye kile unachokijua tu, kubali kuna mengi usiyoyafahamu pia.
 
Mwamini baba yako anaposema ‘alikosea step’ kuoa mama yako, haukuchagua kuzaliwa nao (ila mzee alimchagua mke) ila tu unapswa kuheshimu venye ni wazazi wako hao.
Ila kuhusu mapenzi baina yao, hayakuhusu hata chembe, kwako mama ni mama ila kwa mshua ni mke hivyo kama kuna vitu haviko sawa heshimu anapojutia ili kesho nawe uchague vema.
Kuoa mke mmoja ni ubinafsi na ujinga wa kuiga mambo ya kidunia, jifunze kwa viumbe wengine ambao ubongo wao haujaoshwa uone kama wanaishi na mke mmoja tu.
 
Unashindwa kumlaani baba yako mjinga asiyekuwa na akili unalaani dhana ya uke wenza?
Wapi umeona mtu mwenye akili timamu akamtambulisha mke wa pili kwa mkewe kwa madaha kama unavyotusimulia hapa?
Muhimu mnachotakiwa kufanya mpelekeni baba yenu hospitali kichaa kitavuka mipaka yake na ataleta madhara kwa jamii.
Kwa taarifa yako kuwa na wake wengi hakujawahi kuwa tatizo ila watu ndio wenye matatizo akiwemo baba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HesabuKali
Huyu atakuwa ni mvulana ambaye bado anashikiwa akili na kulishwa maneno na mama yake kuchukia uke-wenza, tumkumbushe kitu kimoja, kwenye maisha ya ndoa, au hata maisha ya kawaida, migogoro ipo hata ukiwa pekee yako (migogoro binafsi) na hata ukiwa na mke mmoja.

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya migogoro hiyo na wake wengi, nimezaliwa na kukulia katika familia ya aina hiyo, nazongwa tu na mafundisho ya kidunia (dini) ila nafsi inanisuta nikioa mke mmoja.

Labda kwa sababu ya maradhi ambukizi, naweza kuhofia ndoa hizi, ila kamwe sio kwa hoja nyepesi za Financial Analyst.
 
usitake imani yako itupelekeshe unavyotaka, kama watu walioowa mke mmoja ni wadhaifu basi mruhusu na huyo mke wako nimuoe na mimi. coz labda mwanamke nae kuwa na mme mmoja ni ushamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…