Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi mdingi wetu alikuwa anasema nataka kuowa mchina mbele ya Mama,, Kila akilewa analeta story hizo hizoo tuu... Imepita Kama miaka 2 akawa hazungumzii kuhus huyo mchinaa, ikabidi mdogo wangu amkumbushee "baba eti mamdogo mchina Yuko wapi?? "... [emoji3],, Dogo alikula banzii la hatariii chaliii; siku 3 hakwenda skuli...[emoji1787]!
Kumbe baada ya kufatilia yule mchina alimtapeli Kama milion 12 ... Mpka leo yupo na mkewe fresh tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Samson alikuwa na mke mmoja... Delila. Nadhani unajua kilichomtokea
Sasa Mr. Van yuko salama au ndo ishapangwa?Aaah babuSamson hata angekua na wake 10 ilikua imeshapangwa delila amfanyie vile [emoji12][emoji12]
Uzi na ufungwe maana case is closed hapa.Marehemu Babu yangu alioa wake watatu na wote wako vizuri hadi wajukuu tunatembeleana, na huwezi kujua undugu wetu ni wa aina gani
Inategemea na baba yako alikua ni mtu wa aina gani yeye kama yeye usijumlishe na watu wengine!! Na baada ya msiba wa babu, bibi zangu wawili walitoka eda pamoja
Sasa Mr. Van yuko salama au ndo ishapangwa?
Nakala kwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aanze tu. Yatamkuta ya yule jamaa wa hamida
You tell us, we are here to learn!Zamani wanaume walikua wanaoa zaidi ya mke mmoja ili waweze kusimamia mashamba na mifugo, wazalishe na kukuza uchumi wa familia.
Siku hizi baba akijisikia amekosea step anatafuta mke mwingine, ila sina uhakika wa kosa linalofikisha huku ni lipi. Pia sijui mama akikosea step anatafuta mume mwingine au anakua single mama
Nakala kwa
1. Kalumanzira, Kimanzichana
2. Hakimu mkazi, mahakama ya Kisutu
3. Mkuu wa Gereza, Segerea
4. Msimamizi wa Makaburi, Kinondoni
Dini ingine inaruhusu wanne na watu wanaishi kwa raha mifano hiyo tumeonahahah..uncomplying comments nyingi humu ni za watoto wake za pili, tatu, michepuko etc or watu walio mke zaid ya mmoja.., ok sijaja kuponda familia zenu za uke wenza ila mtambue na naamini asilimia kubwa ya familia za uke wenza zina migogoro mikubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena ukweli kabisa,kma sisi wakristu mke ni mmoja ila mahawara kibao na maisha yanasonga vizuriKuna mahala niko naona wake wenza wanaelewana fresh tu hata wanatembeleana eti,
Ila kiukweli kabisa ningekuwa dume ningeoa wake wawili au zaidi,, ila kwavile niko jike sitaki mke mwenza
mke mmoja anadumaza na haifanyi familia kutokuwa na mgogoro nachoona wewe mtoa mada umelishwa tango pori na mama yako kakujaza sumu ya kutosha
Wanaume mnapinga uke wenza endapo ni mama zenu ndo victims. Ila mkiwafanyia wake zenu hua hamjali. Mkeo ni mama pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamme kuna muda huwa wanajisahau sana. BTW Adam and Eve were two in Eden this proportionality should keep running esp for we Christians.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume mnapinga uke wenza endapo ni mama zenu ndo victims. Ila mkiwafanyia wake zenu hua hamjali. Mkeo ni mama pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamini baba yako anaposema ‘alikosea step’ kuoa mama yako, haukuchagua kuzaliwa nao (ila mzee alimchagua mke) ila tu unapswa kuheshimu venye ni wazazi wako hao.
Ila kuhusu mapenzi baina yao, hayakuhusu hata chembe, kwako mama ni mama ila kwa mshua ni mke hivyo kama kuna vitu haviko sawa heshimu anapojutia ili kesho nawe uchague vema.
Kuoa mke mmoja ni ubinafsi na ujinga wa kuiga mambo ya kidunia, jifunze kwa viumbe wengine ambao ubongo wao haujaoshwa uone kama wanaishi na mke mmoja tu.