Changamoto za uke wenza

ahsante kuwa mjinga kama baba yangu. haha kumbe alikuwa mjinga ndio maana kaoa wa pili, so na ww ni mjinga unae sapoti wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante kuwa mjinga kama baba yangu. haha kumbe alikuwa mjinga ndio maana kaoa wa pili, so na ww ni mjinga unae sapoti wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona unavyorithi ujinga wa baba yako sasa? Soma vizur hapo, na narudia tena kuoa mke wa pili hakujawahi kuwa tatizo tatizo ni watu akiwemo wewe na baba yako.
Nasema tena hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza fanya aliyofanya baba yako mbele ya mama yako hata kama mama yako ana matatizo.
Kwahiyo endelea kumlaumu baba yako na sio uke wenza labda una madahifu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake SOMETIMES mnazingua Sana.

Nlipokua mdogo nlimlaumu sana Baba angu kwa kuoa wake wawili.

Sahv, nmeshakua mkubwa Nina mke pamoja na watoto watatu.

Ila kwa MAUDHI anayonifanyia shemej yenu hivi karibuni,

Wallahi nnafikiria KUOA mke wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yah nalaaani coz of what me and my family went through...sio hivi hivi kama unavyofikiria, my mom went thru hell kwa sababu ya yule mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa because of tukio la family yako tu ndio unataka uhitimishe kwamba hii kitu haifai?? Nadhani you are biased brother.

Kuna watoto waliolelewa na wazazi waliopo kwenye ndoa ya mke mmoja tu and still they went through hell, je tuseme na hata hiyo ndoa ya mke mmoja pia haifai??
 
upumbavu tu umeandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama alikosea step kumuoa mama ako ulitaka afanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo hapoo,ajue huyo mamaake Kwa babake ni just mwanamke Tu hawana undugu,halafu mtoto wa kiume hutakiwi kabisa kubase upande wa mama,jifunze Kuweka chuki na visasi vya mama moyoni kumbuka mamaako kinachomuuma Yule ni mpenzi wake hawana undugu ila wewe ni babaako,utakuja kuelewa kwann babaako alifanya hivyo utakavyokuja kuwa mwanaume na wew yaani Una mke au wanawake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na unatumia kigezo gani kung'amua kwamba nani yako hakukudanganya?? Pengine hakumkuta mtu na matunguli wala nini.

Yaani unaposema sis tunaokataa generalisation ya hili jambo unatuona ni wapingaji sio???
 
Mimi mamaangu aliachwa na babaangu Mimi Nikiwa mgongoni Baba alimuacha mama akaoa mke mwingine,of course kuna changamoto za kimalezi tulipitia ila babaangu alijitahidi kutuonesha Sisi kuwa ameachana na mpenzi wake (Mamaangu) na siyo Sisi watoto wake,japokuwa mama Naye alijitahidi kutueleza na kushuhudia madhaifu ya Baba,ila mwisho wa siku wazazi wangu wote wa tatu nimemaliza nao vzr,sikuwah kumchukia Baba wala kumuwekea visasi na sikutaka kumchukia mama wa kambo,leo hii mama na baba mzazi nimewazika namlea Kwa upendo wote mama wa kambo,na kila alichoacha Mzee tumehakikisha huyu kama naye anafaidika nacho japokuwa hakuzaa mtoto na Mzee!!mtoto wa kiume huwezi kumuelewa babaako mpaka nawe utakapokuwa kuwa mwanaume! Hizo hasira ulizonazo ni asilimia kubwa sababu ya hasira alizonazo mama yenu,kumbuka yeye ndo amepokonywa mpenzi na anaweza pata mwingine ila nyie hamuwezi pata Baba mwingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswaaaa. Baba yake pengine hakufata utaratibu wa kuwa na mke wa pili yeye aliliendea tu hilo suala halafu anataka alaumu mfumo mzima wa polygamy
 
kama wanafanya threesome watashindwa uke wenza ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna sababu ya kuoa mke wa pili lakin sababu za kuchepuka zipo??
Yaani haya ndio maajabu ya wanawake.

Mke wangu mimi kaniambia haswa, please usichepuke na nakupa ruhusa Bora huyo unaetaka kuchepuka nae umuoe
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani mimi uchumi namshkuru mungu, akili ziko sawa, mwili wangu uko njema, mizigo tele mtaani, mke wangu hataki nichepuke hata kidogo anataka nioe, nangoja nini kwa mfano???
 
Unanimalizaga sana. Na ninavyolipenda lile jina lako la zamani sasa
 
Haswaaaaaaa!

Mkuu itabidi unipe somo maana hatuachi kujifunza sisi
 
Inahitaji akili kubwa kukubaliana na mambo kama haya. Wengi wao hawawezi kukuelewa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…